Chadema yapewa gari na yazidi kujipanua hadi nje ya Tanzania

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Chadema imezidi kujiimarisha hadi nje ya mipaka ya Tanzania baada ya mwanachama mpya Hussein Msabaha kukabidhi
gari tawi la washington DC ili liweze kutumika kwa ajili ya kuwafikia watanzania wapenda mabadiliko wanaoishi Marekani.

Hongera watanzania munaotambua nyakati na kutambua wajibu wakila mtu kuleta mabadiliko katika taifa letu.

Bofya hapo chini ujisomee mwenyewe
Blog: VIJIMAMBO
Post: TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC LAKABIDHIWA GARI NA MDAU HUSSEIN KAUZELA MSABAHA
Link: VIJIMAMBO: TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC LAKABIDHIWA GARI NA MDAU HUSSEIN KAUZELA MSABAHA
 
Yaaani hii scraper ya mwaka 1645 ndo chama kinakabithiwa?
kweli chadema ni chama cha makapi
hii gari nahisi viwanda havitengenezi tena

Dr. Kupeng'e, unajina kubwa lakini hamuna kitu kichwani?. Mbona unaona choyo chadema wakipewa gari na mpenzi wao. Mimi si chadeema lakini nawafurahia wenzangu kwa kudumisha umoja wao. Siasa si chuki.
 
Chadema si mafisadi thus hatuhitaji ma VX

haya mambo hayaendani na ufisadi hili gari hata upewe bure huwezi kuendesha
kila siku itakuwa kwa FUNDI

HVI ILI NA GARI GANI

166682489.JPG
 
GARI gani linatumia site mirror moja?

kwanini wamepiga picha moja?

Hivi hii ni aina gani? toyota, harrier, benz?

Usijali sana juu ya aina ya gari, cha muhimu ni kama injini iko fit au la, pia huu ni mwanzo tu na inaonesha jinsi gani wanachama wa CDM walivyo na moyo kunjufu na chama chao hata huku nje ya nchi....
 
haya mambo hayaendani na ufisadi hili gari hata upewe bure huwezi kuendesha
kila siku itakuwa kwa FUNDI

HVI ILI NA GARI GANI

166682489.JPG

kweli Magwandammepotea kwa gari ambalo litafanya watu wachangie kila siku kwenye mikutano ili liende garage.fikirieni kuhusu hasara na sio kufungua tawi lisilo na Mantiki yote katika chama.kwani wapiga kura wapo Tanzania.
 
GARI gani linatumia site mirror moja? kwanini wamepiga picha moja? Hivi hii ni aina gani? toyota, harrier, benz?
Ama kweli watu wengine mang'amuzi hakuna!! WOW!!! Hapo ujumbe si juu ya uzuri au ubaya wa gari!! Gari ni ishara tu nje!!. Lakini la msingi hapo ni kile ambacho kiko nyuma ya pazia la hilo gari yaani Uzalendo na mwamko wa watu kuipenda Chadema!! Umenipata lakini?
 
Yaaani hii scraper ya mwaka 1645 ndo chama kinakabithiwa?

kweli chadema ni chama cha makapi

hii gari nahisi viwanda havitengenezi tena

Hapa Marekani mradi gari unawasha inawaka hatuiti scrapper. Ukitaka kuona scrapper nenda Cuba uone magari ya 1952 yanavyotumika kama taxi. Jamaa kajitolea gari lake litasaidia usafiri wa hapa na pale wewe unaona makapi. Ulaaniwe na kiroho chako cha kijuba.
 
Back
Top Bottom