Kwa nini mishahara imekatwa kienyeji Ludewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini mishahara imekatwa kienyeji Ludewa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njangula, Jun 26, 2012.

 1. N

  Njangula Senior Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  More than pains beyond comparison. Japo mishahara yetu ni midogo bado machungu yanaongezwa kwa kukatwa 40000 ktk mishahara yetu midogo. Suala je ni bodi ya mikopo au ndio mikakati kuongeza vyanzo vya mapato ya halmashauri? Je hatuna haki ya kutaarifiwa? Is it the same even to other councils especially to teachers?
   
Loading...