Ajali leo asubuhi pale kwenye mataa Superstar along Sam Nujoma road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali leo asubuhi pale kwenye mataa Superstar along Sam Nujoma road

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kalumbesa, Jun 25, 2012.

 1. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa Dar-es-salaam yetu,jambo kama hili ni la kawaida hasa mida ya asubuhi watu wanapokuwa na haraka kuelekea kwenye shughuli zao za kila siku.

  Photo0008.jpg Photo0010.jpg Photo0011.jpg Photo0009.jpg
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Kama ni magari tu yaliyoumia haitakuwa tatizo kubwa.
   
 3. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa jinsi tukio lilivyo ni magari tu man,lakini pia watu wa usalama barabarani wana challenge ya kujitahidi kupunguza ajali barabarani leo hakuna aliyeumia usitegemee na kesho kutakuwa hakuna aliyeumia,watu hawafuati sheria kwa sababu wanajua tu traffic nitamuhonga nasepa,hasa magari ya serikali ndio usiseme!By the way nimependa sana avatar yako
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  hiyo image ya movie moja (cartoon) inaitwa ice age (ipo version 1 hadi 3 ) huyo squirrel anaitwa scrat na ktk v3 anakuja kupata kabinti kanaitwa scratte
   
 5. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mataa ya wapi?
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  ukitoka ubungo kwenda mwenge baada ya mawasiliano house kuna traffiac lights ambapo ni njia panda ya kuelekea sinza makaburini
   
 7. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ya man naipata hii kitu nimeona hizo 1-3 nasubiria 4 ambayo itatoka soon !
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia kwa youtube wanaonyesha short clip za v4 lkn sizielewi maana zipo nyingi na haziwiani
   
 9. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yah zipo nyingi ila hii hapa ndio official trailer man
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...