'Nitaanza na MGOMO wa MADAKTARI' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Nitaanza na MGOMO wa MADAKTARI'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 25, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kauli hiyo ilitolewa na Dr Hussein Mwinyi,ambaye alikua ni miongoni mwa mawaziri waliotoa ahadi za maziwa na asali mda mchache baada ya KUAPISHWA...
  Japo haujapita muda mrefu saana tangu aingie wizaran namuona dr Mwinyi anaendeleza swaga za Dr Mponda
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nakumbuka mwinyi aliwahi kufika ukumbi wa 'korea' ili kutatua mgomo wa madaktari mwaka 2004(kama sikosei) na hakufanikiwa.leo hii ataweza?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Si atafanya yale yale aliyokuwa na anayafanya huko Wizara ya ulinzi alikokuweko?

  Tabia haina dawa! Udhaifu.
   
Loading...