Kwa nilichokiona kupitia ITV, PM hawezi kutoa tamko rasmi la serikali, upepo umengeuka. Je utafukuza kazi na utumishi, watumishi wote? "na litakalo kuwa na liwe" nakushauri PM ktk vita hii, anza...
Nikiwasikia viongozi hasa mawaziri, wabunge wa ccm na watendaji wakuu wa serikali hutoa kauli hii SERIKALI YA CCM itafanya hili au imefanya hili nauliza Tanzania tuna serikali ngapi kutofautisha...
haya yalikuwa ni maneno ya Mh Chenge kutokana na chenji za rada alizopewa kama zawadi akaziifadhi kule Uswisi...Leo kauli yake imetimia,tunaambiwa Kumbe ziko zaidi Ya Bilion 300 (million 300,000)...
Mda mfupi wakati akihitimisha kikao cha leo naibu spika ametoa ushauri wa jumla kwa wabunge wetu kuwa bajeti ni yao hivyo ni ajabu mbunge wa ccm kusimama na kuikosoa bajeti ya serikali yake jukumu...
huu ni ujumbe uliowafikia madaktari wote nchini baada ya tukio la kuteswa na kupigwa kwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Dr stephen ulimboka.
"ukiwa vitani na ukashuhudia askari mwenzako kapigwa...
Katika hatua ambayo imeibua mjadala mzito katika kipindi hiki cha Bunge la Bajeti, Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom imemwaga Blackberry kila moja ikiwa na thamani ya...
Ndugu zangu wanaJF,
Nipo hapo Afrika kusini kwa muda sasa. Huwa najiuliza maswali mengi bila kupata majibu ninapokuwa nakatiza mitaa hasa ya Capetown. Miundo mbinu yao hasa barabara flyovers...
Nimekuwa nafahamika kwa Id ya Kadakabikile kwa muda mrefu, lakini nimeona nibadili jina na hatimae nitumie jina langu halisi. Kwa hiyo kuanzia leo nafahamika kama Barnabas Shadrack na hii ni baada...
Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti la mwanahalisi, mara zote habari muhimu ilikuwa ya huyu mpiganaji-alikuwa anatoa habari critical zenye uchunguzi wa kina: Kuna kipindi waziri wa ushirikiano wa...
Wana JF, I hope all is well.
Mwenye kuwa na soft copy ya hotuba ya waziri ya fedha ( iliyosomwa mara ya mwisho baada ya marekebisho), pamoja na ile ya waziri mkuu naziomba ili nizipitie kwa...
Nimepata email kutoka kwa mshikaji, Insikitisha, inatisha sana, nimeona bora niwashirikishe ndugu zangu wa JF.
Dear friends Leo nimeona ni vyema nika-share nanyi kisa hiki cha kutekwa...
jana katika taarifa ya TBC1, Shekhe Simba alitoa kauli ya kuwataarifu waislam kushiriki katika sensa baada ya serikali kukubali kuingiza kipengere cha dini katika hojaji ya sensa inayotarajiwa...
Wapendwa nina hofu kubwa sana kuhusu ninao amini kuwa ni uchochezi unaofanywa na vyombo fulani vya habari vya kidini hapa nchini vimenijenge chuki dhidi ya dini fulani,mwanzoni sikuwa na hiyo...
Naomba kuuliza hawa MP's wa Lugalo kukaa barabarani kama traffic ni halali??maana naona wanawanyanyasa vijana wetu wanaoendesha Pikipiki kama bodaboda pasipokuwa na sababu za msingi!na...
kuna tetes nlzopata toka kwa mdau mmoja wa voda kwamba wale kina dada kwenye tangazo la wajanja wa voda ni wasanii toka Uganda..................sasa jaman ina maana kina dada wetu wa kibongo...
Mwandishi Wetu
KITENGO cha Polisi wa Kimataifa (Interpol) nchini kinachunguza Sh303.7 bilioni ambazo zinadaiwa kukutwa kwenye akaunti sita za Watanzania, wakiwamo wanasiasa, katika benki...
Habari nilizozipata kutoka kwenye mtandao wa Facebook kutoka kwa rafiki yangu ni kua yale majangili waliovamia ile kambi inayomilikiwa na Moivaro Ikoma Bush Camp yamekamatwa pamoja na baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.