huyu SAED KUBENEA wana JF yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huyu SAED KUBENEA wana JF yuko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by local, Jun 27, 2012.

 1. l

  local Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti la mwanahalisi, mara zote habari muhimu ilikuwa ya huyu mpiganaji-alikuwa anatoa habari critical zenye uchunguzi wa kina: Kuna kipindi waziri wa ushirikiano wa africa mashariki kupitia kipindi cha dk 45 ITV alitoa shutuma; nanukuu:

  "ninasikitika vita hii ya ufisadi kuna watu walianza vizuri likini cha kushangaza sasa na wao mwameshanunuliwa na mafisadi-kwa mfano kijana wetu mzuri, makini na hodari wa kutoa habari za kuaminika kwa sasa yuko mikononi mwa mafisaji huyu ni kijana wetu KUBENEA" Mwisho wa nukuu.

  Bila shaka alichokisema Samweli Sitta ndicho nachokiona sasa kwenye gazeti la mwanahalisi. Anayebisha ajaribu ku-THINK. Huwezi kukuta tena kwenye gazeti hilo habari za mafisadi na washirika wao. Gazeti lililokuwa linanunuliwa sana na watu makini kwa sasa mauzo yameshuka sana kwa gazeti hili.

  NOTE: wao wanadili na kikwete tuuuuu, hata maovu ya CCM kwa ujumla wake hawauoni tena!
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  huyu bwana yupo masomoni kama sikosei na yupo nchi za scandnavia huko
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  ukiona manyoya ujue keshaliwa ........
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  acha kupotosha uma wewe,said ni kati ya watu ambao ni wazalendo.hayo ya sita ni unafiki wake tu maana wanachi tumeshamjua yumo kwenye mradi wa kufuga mafisadi asilete unafiki.saidi yupo masomo wala hajafanywa lolote na mafisadi la kuweza kunyamaza.

  said,all the best in your study,wewe ni mzalendo na unamsimamo sio kama waandishi wengine wanashindwa kulinda maadili ya taaluma yao.
   
Loading...