Kutoka Kadakabikile hadi kuwa...

Kutoka Kadakabikile hadi kuwa...

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,556
Nimekuwa nafahamika kwa Id ya Kadakabikile kwa muda mrefu, lakini nimeona nibadili jina na hatimae nitumie jina langu halisi. Kwa hiyo kuanzia leo nafahamika kama Barnabas Shadrack na hii ni baada ya kuunganisha Id mbili, ya Kadakabikile na ile ya Barnabas Shadrack.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Mi' nilipokuwa nakutana na jina hilo la ............kabikile,nilijua jina lako halisi laweza kuwa ni kama....Ishengoma,Mutashobya nk..nk.
 
hongera mkuu kw akujitambulisha naona umekuwa verified user
 
hongera mkuu kw akujitambulisha naona umekuwa verified user

Asante sana mkuu, ila hiyo verified user sio leo tu ni toka siku za nyuma maana nilikuwa natumia Id mbili tofauti ikiwemo na hii ya Barnabas Shadrack.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Asante sana mkuu, ila hiyo verified user sio leo tu ni toka siku za nyuma maana nilikuwa natumia Id mbili tofauti ikiwemo na hii ya Barnabas Shadrack.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

Ni vizuri sana mkuu kujitambulisha na kujulikana na kuwa wazi kwa mchango yako
Asante mkuu Barnabas Shadrack
 
Mi' nilipokuwa nakutana na jina hilo la ............kabikile,nilijua jina lako halisi laweza kuwa ni kama....Ishengoma,Mutashobya nk..nk.

Mara mia ungesema yale majina ya wale wenzangu wa nduhu tabhu.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Ni vizuri sana mkuu kujitambulisha na kujulikana na kuwa wazi kwa mchango yako
Asante mkuu Barnabas Sherrack

Hapo kwenye red naomba nikusahihishe kidogo, ni Shadrack.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Na huyo bwana avator hapo juu ni wewe halisia mkuu??
 
Back
Top Bottom