dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Nikiwasikia viongozi hasa mawaziri, wabunge wa ccm na watendaji wakuu wa serikali hutoa kauli hii SERIKALI YA CCM itafanya hili au imefanya hili nauliza Tanzania tuna serikali ngapi kutofautisha ni serikali gani inayofanya kazi sasa? Au kuna serikali ya Chadema pia inaongoza nchi