Mnashangaa Bilion moja! mbona hivi ni vijisenti tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnashangaa Bilion moja! mbona hivi ni vijisenti tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jun 27, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  haya yalikuwa ni maneno ya Mh Chenge kutokana na chenji za rada alizopewa kama zawadi akaziifadhi kule Uswisi...Leo kauli yake imetimia,tunaambiwa Kumbe ziko zaidi Ya Bilion 300 (million 300,000) huko Uswisi.

  hawa viongozi wanajuwa wanachosema huwa hawaropoki tu na kweli sasa naamini billion moja ni visenti tu.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu sahihisha posti yako, Chenge hakupewa zawadi bali alipewa rushwa ili akubali kuongeza malipo ya rada kutoka bei halisi na kuwa bei ya ufisadi.
   
 3. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu umesahau kipindi kile ndo kaneno takrima au zawadi kalikuwa kanatumika sana... ilikuwa ni rushwa
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hizo pesa hakuweka swiss...ziko UK labda kama huko swiss ana zingine
   
 5. M

  Moony JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kachukuliwa hatua gani?
   
Loading...