Hofu kuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu kuu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Michael Mwakyusa, Jun 27, 2012.

 1. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wapendwa nina hofu kubwa sana kuhusu ninao amini kuwa ni uchochezi unaofanywa na vyombo fulani vya habari vya kidini hapa nchini vimenijenge chuki dhidi ya dini fulani,mwanzoni sikuwa na hiyo hali,sasa nina hofu kwamba inawezekana ikawa hivyo kwa wengine pia,je hatma yake itakuwa ipi.
  Naomba sana serikali,usalama wa taifa msilale hali ni mbaya,funga hivi vyombo,tutalazimika kujenga ukuta kwa ufa huu.Nawakilisha.
   
Loading...