MP wa Lugalo....wanakuwa kero barabarani!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Naomba kuuliza hawa MP's wa Lugalo kukaa barabarani kama traffic ni halali??maana naona wanawanyanyasa vijana wetu wanaoendesha Pikipiki kama bodaboda pasipokuwa na sababu za msingi!na kuwachelewesha kwenye shughuli zao!!
Mimi nauliza je wao kazi yao nikulinda barabara??kambi??au wapitao njia hiyo?Kama ni hivyo basi serikali ibadilishe njia ili vijana wetu waepuke na bugdha hii!!Inakuwa kama tupo kwenye nchi yenye karantiini ya kutembelea barabara zilizopo karibu na makambi ya jeshi!!

Hili ni jeshi la wananchi na siyo liwe jeshi lakusumbua wananchi!!Tunaomba wenye mamlaka husika waangalie hili kwa jicho laziada.
 
Fafanua hayo manyanyaso.
Kweli hebu afafnue!
Tatizo kubwa vijana wa leo ni kutojua kwamba eneo hilo bado liko katika uangalizi wa jeshi hata kama wananchi wanapita hapo.
Tusisahau threats za Al Shabab na Uamsho na wengine, hao ma MP hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya.
 
Naomba kuuliza hawa MP's wa Lugalo kukaa barabarani kama traffic ni halali??maana naona wanawanyanyasa vijana wetu wanaoendesha Pikipiki kama bodaboda pasipokuwa na sababu za msingi!na kuwachelewesha kwenye shughuli zao!!
Mimi nauliza je wao kazi yao nikulinda barabara??kambi??au wapitao njia hiyo?Kama ni hivyo basi serikali ibadilishe njia ili vijana wetu waepuke na bugdha hii!!Inakuwa kama tupo kwenye nchi yenye karantiini ya kutembelea barabara zilizopo karibu na makambi ya jeshi!!

Hili ni jeshi la wananchi na siyo liwe jeshi lakusumbua wananchi!!Tunaomba wenye mamlaka husika waangalie hili kwa jicho laziada.
Tatizo wewe hujapita JKT ! Pengine pale ni "smart area" na hawa vijana wa pikipiki hawana nidhamu. Hata gari ikipaki kijinga kijinga eneo lile jamaa wanakutokea fasta ! Jipange mzee !
 
Kwahiyo wewe unaona ni sahihi kwa bodaboda na bajaji kuto kufuata sheria za barabarani?
 
Lugalo ni Military Base, hivyo uhuni wa mitaani wa akina bodaboda na bajaj pale si mahala pake.
 
Tatizo wewe hujapita JKT ! Pengine pale ni "smart area" na hawa vijana wa pikipiki hawana nidhamu. Hata gari ikipaki kijinga kijinga eneo lile jamaa wanakutokea fasta ! Jipange mzee !
Jipange wewe mimi senior kwako katika maswala ya gesi wewe dogo!!Unataka nikutajie operation yangu??soma uzi uliopita unaohusu JKT au nikupe force no yangu W....73
Manyanyaso nimengi ingekuwa ni kambini ningesema kweli somo la smart area lifuatwe lakini katika barabara ya public??bodaboda haruhusiwi kumpita mwenye gari au vyovyote vile sisawa jamani!!
 
Military base ndani siyo barabarani walitaka kufanya hivyo kukomaa na hile barabara serikali ikasema no na wakazi wakawe wakafunguliwa barabara iliyokuwa imefungwa siku kibao!!
 
Jipange wewe mimi senior kwako katika maswala ya gesi wewe dogo!!Unataka nikutajie operation yangu??soma uzi uliopita unaohusu JKT au nikupe force no yangu W....73
Manyanyaso nimengi ingekuwa ni kambini ningesema kweli somo la smart area lifuatwe lakini katika barabara ya public??bodaboda haruhusiwi kumpita mwenye gari au vyovyote vile sisawa jamani!!
taja operation na force number nikubanie mikono mkuu !
 
Tatizo wewe hujapita JKT ! Pengine pale ni "smart area" na hawa vijana wa pikipiki hawana nidhamu. Hata gari ikipaki kijinga kijinga eneo lile jamaa wanakutokea fasta ! Jipange mzee !

Haswaa!!
bodaboda na bajaji hapo watakuta breki yao.
Wamezoea kula na trafiki.
Pale si mchezo bana-zubaa pale na ule kwata ya bure!
 
Haya ni mambo ya majungu tu, wote mnajua jinsi gani hizi pikpiki zinaua watu na kuacha maelfu vilema wa kudumu sasa iweje mseme wanaonewa?!! wanapita popote bila kujali, kuna tatizo kubwa na hawa bodaboda...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom