Wana CCM rorya wasusa kupanda kivuko!kisa kina rangi ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana CCM rorya wasusa kupanda kivuko!kisa kina rangi ya CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Jun 27, 2012.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,474
  Likes Received: 1,832
  Trophy Points: 280
  katika kujiandaa kuwa chama cha upinzani CCM rorya jana wameamua kutopanda kivuko MV MUSOMA kinachomilikiwa na govt
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Tunaambiwa kuwa ile ni moja ya ahadi ya JK mwaka 2010.

  Lakini Serikali ya CCM ndio iliyopo madarakani hivyo ni wajibu wake kupitia Wizara husika kuhakikisha kivuko kinapatikana na siyo ahadi ya kipindi cha uchaguzi. Kwani wanataka kutuambia kuwa kama ingelikuwa uchaguzi upo mbali (zaidi ya miaka 4 mbele) Je wananchi wangeishi pasipo kuwa na kivuko????


  Tuache siasa.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,123
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  imekula kwao
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hao vichwa vya wenda wazimu!
   
 5. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,095
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Wapige mbizi
   
Loading...