Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Steven Wasira, Waziri Ofisi ya Rais, kafiwa na mama yake Mzazi, jeshini Lugalo. Chanzo: Redio Free Africa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati madaktari wakiwa kwenye mgomo baridi wa kutoa huduma ilikuwaje wakampeleka Dr Ulimboka hapo Muhimbili? Au walitaka afe kwa kukosa huduma? Au wanajua kuwa watu maalum hawataathiriwa na mgomo?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Madaktari Interns wa Hospitali ya Rufaa Mbeya wameamriwa kuhama haraka iwezekanavyo katika hosteli za hospitali hiyo. Majengo ya hosteli hizo yamezingirwa na askari wa kuzuia ghasia na makachero...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani nisidieni kujua uwiano sahihi wa thamani ya mzungu na mtanzania. WATANZANIA WANGAPI NI SAWA NA MZUNGU MMOJA? nahitaji jibu mapema ili siku idadi ya Wa-Tz(Zeluzelu) watakao uwawa wenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi Kwanza tuungane wote kumpa pole Dr. Stephen Ulimboka na kulaani kitendo kile. Mimi ndiye nilyeanzisha ule uzi wa "mazuri ya JK", na miongoni mwa mazuri ya rais wetu, ni "mtu wa watu"...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Ni ushauri tu wa kuongeza madai yao yaani baada ya magari pia serikali iwapatie ndugu zetu hawa SILAHA ili waweze kujilinda kutokana na unyeti wa sehemu waliyopo na umuhimu wao, pia kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbunge mmoja akichangia katika hutuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu leo alifikia kusema "kama alivyo sema waziri Benard Membe kuwa watanzania wako tayari kulala na njaa lakini hawapo tayari...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Jamani ndugu zangu watanzania na viongozi, wakazi wa ifakara wanakelekwa sana na geti la idete kwakuona viongozi wamegeuza sehemu yao ya kutafutia pesa za kubadirisha magari nk. Na kikubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana Jf tuangalie Tbc walau kwakutathini tu kinachojadiliwa kuhusu mgomo wamadaktari.Then tulijadili kwa HAKI!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Your Day in a Chart: 10 Cool Facts About How Americans Spend Our Time By Derek Thompson Jun 25 2012, 11:54 PM ET People over the age of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama nchi ikianza umafia juu ya watu wake hiki ni kiama. Njia ya maridhiano ikishindikana inabidi kutumia umafia kaeni chonjo watu wote mnaotetea maovu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni kawaida kwa madaktari kulalamikiwa kila kuwapo na tatizo katika mfumo wa utoaji huduma za afya. Wakati mwingine daktari anaonwa kama malaika anayerejesha uhai. Muda mwingine akionwa kama mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wenye upendo wa dhati na nchi hii wanaumia mno wanapoona na kusikia matukio ya kutisha katika nchi yetu yanayofanywa na binadamu wenye roho ya kishetani.Matukio ya kuteka na kuua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mie sina imani na serikali kabisa ya CCM na kweli kesi ya nyani tunampelekea tumbili, iweje mtalii mmoja kuuwawa serikali yote ikahamia Serengeti na cha ajabu eti wahusika wamekamatwa na siraha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mbunge wa ccm atoa chozi bungeni,akisikitika juu ya serikali yake kushinwa kuwakamata wauaji wa Albino(walemavu wa ngozi) lakini wameweza kuwakamata wauaji wa Tembo.. tembo ni bora kuliko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwakweli napenda kukuomba mimi binafsi na uyatilie mahanani maombi yangu. Tunajua vitu vingi vibaya vimesemwa juu yako lakini mimi naimani kubwa sana na wewe kwamba unauwezo wa kuikomboa hii nchi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Madaktari hawana imani tena na Waziri mkuu Pinda kwa sababu ni kigeugeu na mwongo na mazungumzo ya mara ya mwisho walivyokubaliana sio kama anavyouekeza umma na amekuwa mnafiki wa kupeleka hoja za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
OTHER CHARGES (OC) ALLOCATION FOR OCTOBER 2002 VOTE MINISTRIES/REGIONS/DEPARTMENT ESTIMATES Oct-02 2002/2003 1 2 3 4 PART I - OC (OTHER CHARGES) A CFS 20...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
OTHER CHARGES (OC) ALLOCATION FOR OCTOBER 2002 VOTE MINISTRIES/REGIONS/DEPARTMENT ESTIMATES Oct-02 2002/2003 1 2 3 4 PART I - OC (OTHER CHARGES) A CFS...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Back
Top Bottom