Naibu spika nakupongeza kwa kuwaonyesha njia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu spika nakupongeza kwa kuwaonyesha njia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Jun 27, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mda mfupi wakati akihitimisha kikao cha leo naibu spika ametoa ushauri wa jumla kwa wabunge wetu kuwa bajeti ni yao hivyo ni ajabu mbunge wa ccm kusimama na kuikosoa bajeti ya serikali yake jukumu la kwanza ni kuishauri then isipotekeleza ndo kuiadhibu na si kuanza kuipinga bajeti kabla ya kushauri hiii imekaa vzr sasa wabunge wetu warudi kwenye njia maana walikuwa wamepotea kufanya ushabiki na kuacha kutekeleza jukumu lililowapeleka pale!
   
Loading...