Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wamepita hapa Tazara na defender zaidi ya sita na lile la maji ya kuwasha, wenye taarifa tujuzane kwani naona kamekuwa kamtindo nchini mwetu!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kukosekana kwa utawala wa sheria kunaligharimu sana bara la Africa. Border ya Kasumbaresa kwa sasa imefungwa kwa sababu ya raia wa Kongo kumchoma moto pamoja na track lake dereva mmoja wa Zambia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana forum, huku Mwika leo hakuna usafiri wa mabasi ya abiria(Hiace) kutoka Mwika na kwenda Moshi mjini. Inasemekana kwamba kuna mgomo Moshi mjini kutokana na kupandishwa ushuru wa stendi. Je ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF, leo nimetumiwa toka South Afrika katuni za Zuma zinazotoka kwenye magazeti ya huko, nikakumbuka enzi zile Mwinyi anasema UD walimtukana matusi ya nguoni nikaona yaani zile picha za mzee...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilisikiliza kwa karibu sana marumbano ya wabunge wetu Bungeni kuhusu mijadala ya bajeti ya Serikali. Wapo walioneena kwamba hakuna uwiano wa moja kwa moja kati ya maudhui ya bajeti hiyo na Mpango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeangalia leseni mpya kwa umakini mkubwa na sample ya vitambulisho vya Taifa naona tunapungukiwa kitu cha umuhimu sana. Watu wengi hupata ajali hufariki na kuzikwa na viungo ambavyo ni vizima...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau kile kichwa cha data kiko ndani ya tbc pamoja na mh juma nkumba kinashusha data kama kawa. kinawatahadharisha watanzania kuwa magufuli ni high creaming caparsity kwa hiyo analewesha watu na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huwezi kujivunia madaktari wa jeshi ambao nao wana wagonjwa wao wa kutosha.Madaktari wa jeshi hawagomi,lakini ni mshahara upi mkubwa kati ya ule wa kijeshi na wa udaktari?.Waliojenga hospital...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Niko kituo cha mabasi yaendayo mikoani UBUNGO kuanzia saa 12:00 mpaka saa hii hatujaondoka inadaiwa kuna ukaguzi wa leseni ni mateso wana JF nijo kwenye najimunisa naenda singida
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ndugu wana jf hi ndo Katavi,rasilimali nje nje,madini aina ya dhahabu,wanyama pori wa aina mbalimbali,njooni mjionee wenyewe..ni mengi na zaidi ya hayo....kalibuni wote.
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Nimesikia kwamba mkoani iringa kwa takribani mwezi mmoja kitimoto imepigwa marufuku kuuzwa. Sababu inatajwa kuwa ni kutokana na jamaa mmoja alikutwa akimbaka nguruwe bandani. Mpaka sasa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
JUST TO INSPIRE MY FELLOW JF READERS: Do you know why a car's windshield is so large & the rear view mirror is so small? Because our past is not as important as our future. So, look ahead...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
katika jamii ambayo gonjwa la ukimwi limekuwa tishio tujaribu kurekebisha tabia zetu kwani mnyororo wa VVU ni mkubwa kuukadilia. kama ni mfuatiliaji itafute nyimbo ya Rkelly iitwayo Trapped in...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa mtaa wa kwa mkunduge huko tandale amekataliwa na wananchi kwa sababu anatumikia vyama viwili yaani CUF na ADC,mwenyekiti huyu imebainika kuwa anagawa kadi na bendera za ADC ili-hali...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
hivi hawa viongozi wetu ndio wameona hii stendi inakidhi viwango kweli magari yote ya abiria yanaingia pale vumbi linatimka watu hawaonani. wamefikiria kweli afya za abiria na huduma muhimu zipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
waliaga wanaenda nchi za nje kuchunguza balozi za huko na ufanisi wao...kwa kweli waliondoka kwa mbwembwe hata kufikia kuita press pale airport..vp wamerudi? maana hatupati update zozote na Bunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waheshimiwa Wabunge,nawakaribisha kwenye mjadala wa Bunge letu la JF.Mada mbili ziko mezani kwangu: vipaumbele vyetu kama Taifa na Kero zetu kuu kama Taifa.Si mbaya Waheshimiwa mkatoa na michango...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi wadau hizi bia na soda na bidha nyingine ambazo huwa wanapewa majeshi bila kodi zina maana gani?Mimi kwasasa niko Shy ila kitu cha kushangaza kuwa Polisi na Magereza wamefungua mabaa na kuuza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Mods inawezekana Jukwaa La kero za Wananchi kuanzishwa? Nina uhakika Jukwaa hili litavuta hisia ya Viongozi wengi hasa wabunge na watazifikisha kunakostahili. Hapa Dar es salaam kuna kero...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau,fifa wapo kwenye mchakato wa kuleta utaratibu mpya wa kukubali goli kwa teknolojia ili kuondoa utata kama mpira umetinga wavuni au lah,,,,na mfano ni wakati wa mashindano ya EURO ambapo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…