stendi mpya ya magari mlandizi. vumbi mtindo mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

stendi mpya ya magari mlandizi. vumbi mtindo mmoja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dedam, Jul 5, 2012.

 1. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hivi hawa viongozi wetu ndio wameona hii stendi inakidhi viwango kweli magari yote ya abiria yanaingia pale vumbi linatimka watu hawaonani. wamefikiria kweli afya za abiria na huduma muhimu zipo kweli pale? halmashauri hii ya kibaha vijiji inaongozwa na ccm, madiwani wote ni ccm akili zao zimegota hapa na kuruhusu stendi isiyokidhi viwango kufunguliwa .ccm jalini afya za wapiga kura wenu
   
 2. D

  Daniel poul Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri bado inashugulikiwa au pale mkandalasi ameshakabizi?
   
Loading...