Mwenyekiti wa mtaa wa Tandale - Anatumikia vyama viwili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa mtaa wa Tandale - Anatumikia vyama viwili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 5, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa mtaa wa kwa mkunduge huko tandale amekataliwa na wananchi kwa sababu anatumikia vyama viwili yaani CUF na ADC,mwenyekiti huyu imebainika kuwa anagawa kadi na bendera za ADC ili-hali alichaguliwa kuwa mwenyekiti kwa tiketi ya CUF,pia anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya SERIKALI,ameuza baadhi ya vitu kisha hajaweka wazi matumizi ya pesa,alipoulizwa alisema kuwa ana wake wawili,,,,,mmoja mbagara mmoja tandale,kwahiyo pesa nyingine zipo kwa mke mdogo mbagara.
  Sosi:habari clouds tv
   
 2. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tunamkaribisha kwenye chama kipya kinachoitwa CHAUMWA
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Huyu mwenyekiti mkuu mbona anachafua chama chetu?
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti ana tamaa huyu inaelekea.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti anasoma alama za nyakat je atumikie chama kipi???anasoma upepo unavyopita
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ni kweli,,,,ADC si ndo cha hr????
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  halafu alivaa t-shirt ya CUF
   
 9. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haina tabu kwani hicho alichochaguliwa kinakufa hivyo anajiandaa na maisha mapya
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Mtaa wa MKUNDUGE!!!
   
Loading...