Wakuu kimenuka wapi!???,FFU kibaoo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu kimenuka wapi!???,FFU kibaoo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba V, Jul 6, 2012.

 1. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wamepita hapa Tazara na defender zaidi ya sita na lile la maji ya kuwasha, wenye taarifa tujuzane kwani naona kamekuwa kamtindo nchini mwetu!
   
 2. J

  Jahom JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 349
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nilisikia kutakuwa na maandamano, sijui ni ya waalimu au kundi lingine.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Si kuna maandamano ya wanaharakat????labda wanajiham,ila wameahirisha
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wanaharakat,,,,,
  walim wanamuandamia nan????
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Leo kuna maandamano ambayo yanaongozwa na LHRC .
   
 6. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ni mazoezi ya kukimbia na maji ya kuwasha kwa mbwembwe kuwatisha watu, ndio maana wakapewa jina la fanya fujo uone, hawangojei ufanye, wanakutishia nyau tu. Haki ya mtu haipigiwi magoti. Ukiona haki ya mtu inapigiwa magoti basi ujue hiyo haki ni batili.
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,579
  Trophy Points: 280
  Nothing really , they are doing their usual maneuvers intimidating Tanzanians.
   
 8. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Operesheni Waogopeshe Watanzania
   
 9. blackberry m

  blackberry m JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 542
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 80
  Kama kawaida washasakizwa! Polisi wetu washakuwa kama mbwa.
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  "Ccm wamebaki na silaha tu maana hata wanaozishika ni chadema damu"- Godbless Lema
   
 11. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,579
  Trophy Points: 280
  Out of their insane excess
  i sometimes wonder,
  were they bred more or less
  like the dogs they mind?
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ndivyo wanavyotakiwa kua hivyo,,,,,,na si vinginevyo,hata kwenye msafara nani anayetangulia????na ukienda na mbwa kuwinda porini nani anatangulia????then kama nyumban mbwa halali ndani,na polisi pia sisi tunalala wao wakesha,
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Polisi wetu ni sawa na toilet paper ikishatumika hutupiwa chooni
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hivi askari polisi wa FFU wanalipwa shilingi ngapi hadi wanakuwa na mbwembwe kiasi hichi? nachoelewa mimi askari wa jeshi ndio wana mshahara mzuri, ila mbona wao hawana mbwembwe? polisi hawa amabao wanalipwa kama vibarua wana mbwe mbwe kweli
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wanafanya mazoezi.
   
 16. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  hata mie nimepishana nao vingunguti wako speed sana, nadhani wanawawai wale wanaharakati wa mabibo wanaotaka kuandamana
   
 17. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Taabu kuuuuba.
   
 18. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka asante kwa uzalendo wako nina imani wewe ni FFU lakini mzalendo hivyo unatupa taarifa ili tujiweke sawa asante sana kwani mara zote umekuwa unatupa taarifa kuwa mko njiani asante sana. Ombi langu kwako siku ukisikia Dr Ulimboka kafa usije kazini tunakutaarifu tu in advance kwani huo utakuwa mwanzo wa mwisho
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hao FFU wameamua kuchezea rasilimali za nchi hii
   
 20. A

  Anold JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Hao wanaharakati wanaochagua kundi la kuunga mkono hao siwataki hata kuwasikia Hebu fikiri (inshu ) kama hizi:

  Wakazi wa Mbagala/Gongo la Mboto vyumba zao zaharibiwa vibaya, wanaharakati Kimya
  Wanafunzi mbalimbali wakosa mikopo wakati vigezo wanavyo - wanaharakati Kimmya.
  Wananchi wa Dakawa Morogoro Nyumba zao zabomolewa na Halmashauri kimakosa - Wanaharakati Kimya
  Wananchi waporwa ardhi zao kimabavu na maeneo yao kupewa wawekezaji - Wanaharakati Kimya.
  Vitendo vya kupigwa hata kuuwawa wananchi na jeshi la Polisi wanaharakati Kimya.
  Vitendo vya kudhurumiwa wananchi pamoja na kuibiwa mali zao na wajanja wachache kama (DECI)tena wakiwa karibu na ofisi za wanaharakati - Wanaharakati Kimya.
  Chaguzi mbalimbali kugubikwa na rushwa na dhuruma, uonevu - wanaharakati Kimya.

  Hawa sio kwamba wanauchungu kihivyo kinachogfanyika wanaingia kwenye maeneo ambayo wafadhili watawaona kirahisi ili wapate pesa za kuendesha ofisi zao na kujinufaisha. Sijamuona huyo mwanaharakati hapa tz ambaye nyuma yake hakuna kufaidika!!!!!
   
Loading...