Bunge la jf: Leo tuzungumzie vipaumbele vyetu na kero kuu...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Waheshimiwa Wabunge,nawakaribisha kwenye mjadala wa Bunge letu la JF.Mada mbili ziko mezani kwangu: vipaumbele vyetu kama Taifa na Kero zetu kuu kama Taifa.Si mbaya Waheshimiwa mkatoa na michango yenu juu ya nini kifanyike kupanga ipasavyo vipaumbele vyetu na kumaliza kero zetu. Michango yenu ni muhimu kwakuwa itafikishwa moja kwa moja kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Karibuni sana Waheshimiwa...
 
Taarifa:mh. Spika kwa mujibu wa kanuni namba 62 kifungu kidogo A inasema kwamba'MJADALA UNAPOENDELEA BUNGENI,MBUNGE YEYOTE HARUHUSIWI KULALA AU KUJAMBA,,,,,SASA MBONA MH.GOMBE AMEJAMBA!?????'
 
Back
Top Bottom