Katuni za Zuma kwenye magazeti huwezi amini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katuni za Zuma kwenye magazeti huwezi amini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Synthesizer, Jul 6, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,310
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Wana JF, leo nimetumiwa toka South Afrika katuni za Zuma zinazotoka kwenye magazeti ya huko, nikakumbuka enzi zile Mwinyi anasema UD walimtukana matusi ya nguoni nikaona yaani zile picha za mzee Punch za Mwinyi ni cha mtoto kabisa kulinganisha na hizi katuni za Zuma zinazotolewa magazetini.

  Niliuliza kwa nini wanamchora Zuma na shower head nikaambiwa kuna wakati alikuwa na kesi ya kubaka, na alipoulizwa na judge kama alivaa kondom kabla ya kujifua alijibu kwamba baada ya mechi alijiwahi bafuni kupata shower, na ikawa chanzo cha kuchorwa na shower head. Nadhani wenzetu kule Sauzi wako dunia nyingine kabisa katika freedom of expression!
   

  Attached Files:

 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,738
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  pole yake.
   
 3. w

  wikolo JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hizi nazo kali. Kuwa kiongozi wa uma inataka moyo sana!!
   
Loading...