Eti kuna jamaa kachafua mboga iringa?

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Nimesikia kwamba mkoani iringa kwa takribani mwezi mmoja kitimoto imepigwa marufuku kuuzwa. Sababu inatajwa kuwa ni kutokana na jamaa mmoja alikutwa akimbaka nguruwe bandani.

Mpaka sasa haijulikani ni nguruwe wangapi aliowatenda ubaya huo. Serikali imeamua kupiga marufuku matumizi ya kitimoto kwa kuhofia kwamba huenda yule jamaa atakuwa kawaambukiza magonjwa mbali mbali hao wanyama.
 
Nimesikia kwamba mkoani iringa kwa takribani mwezi mmoja kitimoto imepigwa marufuku kuuzwa.Sababu inatajwa kuwa ni kutokana na jamaa mmoja alikutwa akimbaka nguruwe bandani.Mpaka sasa haijulikani ni nguruwe wangapi aliowatenda ubaya huo.Serikali imeamua kupiga marufuku matumizi ya kitimoto kwa kuhofia kwamba huenda yule jamaa atakuwa kawaambukiza magonjwa mbali mbali hao wanyama.

dunia itafika kikomo muda si mrefu
 
hii kunyima wengine raha ya mnyama na kuharibu soko la ndani
kwani mnakula mbichi au mnachoma, kuchemsha au kukaanga? so nadhani virusi vitakuwa vime dead ikipita katika moto mkali. naomba ukiwa unapata kitimoto usali kwanza then jimwage
 
Nimesikia kwamba mkoani iringa kwa takribani mwezi mmoja kitimoto imepigwa marufuku kuuzwa.Sababu inatajwa kuwa ni kutokana na jamaa mmoja alikutwa akimbaka nguruwe bandani.Mpaka sasa haijulikani ni nguruwe wangapi aliowatenda ubaya huo.Serikali imeamua kupiga marufuku matumizi ya kitimoto kwa kuhofia kwamba huenda yule jamaa atakuwa kawaambukiza magonjwa mbali mbali hao wanyama.

Kama jamaa kapendana na nguruwe huyo mmoja hawa nguruwe wengine inawahusu nini?
 
Haiwezi kuwa sababu, lazima kutakuwa na tatizo la ugonjwa wa nguruwe la kuambukiza bana....
 
Jamani mbona hawajatenda haki! Yaani hakuna tena mboga huko..!! Maama sisi wengine pasipo ile kitu mambo hayaendi sawa.
 
Kama jamaa kapendana na nguruwe huyo mmoja hawa nguruwe wengine inawahusu nini?

mi ndo nashangaa....mapenzi wapendane wengine....wengine wahusishwe....hatukubali.....sheria ichukue mkondo wake.....
 
huu ni uonezi maamuzi ya upande mmoja,kwa nini wasipige marufuku watu kujamiiana mpaka itakapodhitika kuwa jamaa hajaambukizwa magongwa na nguruwe.?
 
Haiwezi kuwa sababu lazima itakuwa magonjwa ya kuambukizwa tuu!
Ila hawa vibarakashia nao wanapiga kampeni mdudu khaa!
Mbaya zaidi mfungo ukianza mauzo ya mdudu hushuka!
 
Hivi kwa nini mijadala mingi hapa JF lazima zihusishwe na Imani za dini ?Kukejeli,kudhihaki imani za watu wengine?Hivi hii mijadala ingekuwa inafanyika hadharani au watu wataje majina yao kweli huko kutakuwa na amani?
Jamani kuna wakati tuna hitaji kuwa wastaraabu kuheshimu imani za wengine sio kila mjadala ugusie imani ya mtu ili uchangie.
Nilikuwa naangalia picha moja wanaonyesha Nigeria waumini wanavyo ingia kanisani wanakaguliwa kutokana na machafuko ya kidini ,hapa tuna anzisha chokoko kupitia mitandao unashangaa linaingia mitaani vurugu zina anza
Mungu ibariki Tanzania
 
Sio haki kabisa, mbona utumbo una kinyesi lakini unaliwa, sembuse mtaji wa uhai bwana...
Huu ni mpango wa kunyima watu raha kwa kuwabania nyama yao pendwa.
 
Mm naona tusimlaumu Huyo jamaa...itakuwa ni VIHEREHERE vya hao Nguruwe tu.
 
Hivi kwa nini mijadala mingi hapa JF lazima zihusishwe na Imani za dini ?Kukejeli,kudhihaki imani za watu wengine?Hivi hii mijadala ingekuwa inafanyika hadharani au watu wataje majina yao kweli huko kutakuwa na amani?
Jamani kuna wakati tuna hitaji kuwa wastaraabu kuheshimu imani za wengine sio kila mjadala ugusie imani ya mtu ili uchangie.
Nilikuwa naangalia picha moja wanaonyesha Nigeria waumini wanavyo ingia kanisani wanakaguliwa kutokana na machafuko ya kidini ,hapa tuna anzisha chokoko kupitia mitandao unashangaa linaingia mitaani vurugu zina anza
Mungu ibariki Tanzania

mkuu sijaona uhusiano hapa!...
wewe ndio unataka kuleta udini sasa!
 
...nimeshasikia watu wanatomboka na wanyama mbali-mbali, kwa nguruwe hii ndio mara ya kwanza!duuu!
 
Back
Top Bottom