Mch msigwa sasa hivi ndani ya tbc. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mch msigwa sasa hivi ndani ya tbc.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ringo Edmund, Jul 6, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wadau kile kichwa cha data kiko ndani ya tbc pamoja na mh juma nkumba kinashusha data kama kawa.
  kinawatahadharisha watanzania kuwa magufuli ni high creaming caparsity kwa hiyo analewesha watu na data.
  umri tulionao ni tofauti na maendeleo tuliyonayo(yaani mtoto wa mika 12 anashika nafasi ya pili chekechea)
   
 2. MALI YA BABA

  MALI YA BABA JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Dah! Aisee msigwa anazungumzia kuhusu nini jamaa hatari sana kwa data nanikubali sana kile kichwa!
   
 3. K

  Kwaito Senior Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha nimefurahishwa na huo mfano wa mtoto wa miaka 12 anashika nafac ya 2 chekechea!it is a valid example for our nation, 50 yrs of independence lakini maendeleo mhhh
   
Loading...