Mgomo wa mabasi ya abiria stendi kuu Moshi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa mabasi ya abiria stendi kuu Moshi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Officer2009, Jul 6, 2012.

 1. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wana forum, huku Mwika leo hakuna usafiri wa mabasi ya abiria(Hiace) kutoka Mwika na kwenda Moshi mjini. Inasemekana kwamba kuna mgomo Moshi mjini kutokana na kupandishwa ushuru wa stendi. Je ni kweli?
   
 2. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali ni mbaya kwani waendesha daladala mjini Moshi wamegoma kupakia abiria kufuatia kupandishiwa ushuru, wanadai na nauli ipande.
   
 3. 1

  19don JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sisi wengine tuko mbali, ungepiga simu moshi mjini kwa mangi pale mkulima au east africa ungekuwa umesha pata majibu
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hapa inanikumbusha kipindi kile cha nyuma nilikua napanda Treni kutoka Moshi kuja Arusha! Jamani ilikua raha we acha tu! Masikini sijui ni lini tena hii hali itajirudia kwenye hili shirika la Mwakyembe?
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  So sad.......i strand here bse ya huu mgomo..... Hamna gar ya kwenda popote......... Godamn!
   
Loading...