Madaktari wa Jeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wa Jeshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sulphadoxine, Jul 6, 2012.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huwezi kujivunia madaktari wa jeshi ambao nao wana wagonjwa wao wa kutosha.Madaktari wa jeshi hawagomi,lakini ni mshahara upi mkubwa kati ya ule wa kijeshi na wa udaktari?.Waliojenga hospital za serikali wakatenga kuwa hizi zitumiwe na raia walikuwa na fikra kubwa.Je siyo kweli kuwa ukiwajumlisha madaktari wote,wanajeshi wa hospitali binafsi na hawa waliogoma nchi bado inaupungufu wa madaktari?Unazibaje upungufu kwa kutumia upungufu?

  Umri wa kustaafu ukifika mtu aliyechoka anapumzika.Kuna akili gani kumrudisha mchovu shambani?Hao madktari wakigeni wanaletwa kujitolea?Hawatalipwa?Kuagiza madaktari kutoka nje ni kutapatapa kwa mfa maji. Hao madaktari watakuja na vitendea kazi vyao?Wataleta madawa yao,vitanda vyao na vifaa vingine?Kwanini hizi Sh.200 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya madaktari kutoka nje zisitumike kumaliza kadhia hii kama serikali inadhamira ya kweli?


  Kesho walimu watagoma tutaagiza walimu kutoka nje!Busara ipo wapi hapa?Tukiendeleza fikra mufilisi kama hizi iko siku tutajikuta tunaagiza hata Rais kutoka nje!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Madaktari wakiletwa kutoka nje maafa kwa raia yatakuwa maradufu kwani wauguzi hawatawapa ushirikiano kwani kwa kufanya hivi watakuwa wanazidi kuwaangamiza madaktari wazawa.
   
 3. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,500
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Hilo swali ulilouliza hata mimi limekuwa likinitatiza siku zote. It is a very fundamental kind of a question
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pinda, Kikwete dhaifu hao
   
 5. nexus white

  nexus white JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndo maana wamepandisha hospital ya lugalo ili iwe hospital ya rufaa.....kweli ukiongozwa na kipofu lazima utumbukie shimoni
   
Loading...