Nikipata ushahid kuhusu kipigo cha Dr Ulimboka, niupeleke Wap? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikipata ushahid kuhusu kipigo cha Dr Ulimboka, niupeleke Wap?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chiya Chibi, Jul 9, 2012.

 1. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kutokana na sintofaham iliyopo kuhusu nan anahusika na utekwaj wa Dr Ulimboka, huku asilimia kubwa ya wananch wakiamin vyombo vya serikal vinahusika, Je leo hii mi kama mwananch wa kawaida nikipata ushahid wa kutosha wa kuwatambua waliohusika na kitendo hicho NIUPELEKE WAP? Je nimpe kamanda Kova? Au ACP Msangi na tume yake? Au niwape Chadema? Au nimpe Nape Nnauye? Au nimpelekee Ane Makinda? Au niupeleke Polis makao makuu kwa Said Mwema? Au Shehe/Askofu mkuu? Pinda/Jk Je?
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  kama ni documents unaleta hapa JF ichambuliwe kwanza then utaona inasambaa kwenye vyombo vingine vya habari
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Irenei Kiria- Mmiliki wa watekaji
   
 4. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Usiwape wote hao. Peleka umoja wa Mataifa kwa maandalizi ya wahusika kufikishwa The Haugue. Usisahau kupeleka kwa wanaharakati wa haki za binadamu.
   
 5. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nni hiki tunaletewa humu?
   
 6. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wote uliowataja ni sawa na kupeleka kesi ya mbuzi kwa xxxx. Kwa ushauri wangu, weka ktk vyombo vya habari kwanza. wananchi ndo mahakama isiyopendelea.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,273
  Likes Received: 22,030
  Trophy Points: 280
  Mwagika mkuu tuunganishe matukuo
   
 8. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni Pm then i will do the needful
   
 9. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe afande unataka kumpeleka mwenzako magwEpande
   
 10. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fungia mandazi tu jifanye ulimboko uone umemuona mgaya na ndugu ya mkoba kimyaaaa wanajua kaburini hakuna clouds
   
 11. S

  Shansila Senior Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niletee mimi pale mabwepande.Ukiuanza msitu;tembea hatua mia kisha piga mluzi,nitajibu kwa mluzi pia,hafafu uje pande hiyo mluzi unakotokea.
   
 12. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Upeleke pale makumbusho usalama wa taifa geti jeusi.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo niliyokuwekea nyekundu si kweli kabisa, asilimia kubwa ya wananchi tunajuwa waliomlimboka.
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwaharaka haraka mimi nawewe nani anaelement za Ki Kova?
   
 15. Joste

  Joste Senior Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni umbea wenu
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,059
  Likes Received: 6,506
  Trophy Points: 280
  Kama umeweza kuandika haya hapa jf.
  Mkuu ungenena yote unayojua ili watu waelewe vizuri.
  Ole wako utaje uliko au jina lako mkuu.
   
Loading...