Kitambulisho cha taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitambulisho cha taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Livanga, Jul 9, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Je mtanzania mmenzangu umeshajiandikisha kupata kitambulisho cha taifa. usizembee kama ulivyozembea kupiga kura kisha sasa unalalamika tu.

  kumbuka kitambulisho cha taifa sio siasa.
   
 2. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hv hiyo kujiandikisha ni katika ofisi za kata au wapi tena jaman?
   
 3. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Muone mwenyekiti wako wa serikali ya mtaa yeye atamaliza kila kitu. infact anatakiwa kupita nyumba hadi nyumba kuchukua details ila kwa bahati mbaya wakazi wa dar na kwingine kwingi unaingia usiku na kutoka mapema. kwa urahisi andika majina tarehe mwaka na mwezi wa wote walioko ndani kwako mpatie unakuwa umemaliza mchezo.
   
 4. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mbona hawapigi wala kudai picha? Kitambulisho gani hicho kitakuwa bila picha wala sahihi?
   
 5. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  hii hatua kwanza bado process inaendelea na sio picha tu bali finger print
   
Loading...