Customs wa Arusha Wanalazimisha Rushwa hata kwenye sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Customs wa Arusha Wanalazimisha Rushwa hata kwenye sheria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 10, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kizuri kama kujua sheria na haki zako
  watanzania wengi tumekuwa tunakimbilia kutoa rushwa ukijua ni soln
  ya matatizo.....,naomba wakuu wawachungulie hawa wahuni wa customs
  pale arusha...kuna mizigo ilikuja arusha kupelekwa mwanza

  akaamua kuingangania akijua watapata chochote..upuuzi wao umewafanya
  wakagombezwa na mabosi wao kichekesho wanadai sie tulijua ati ni wapinzani
  wao ..wakatumiwa email na kuonyeshwa kifungu cha sheria mzigo wowote umeachwa
  na ndege husika na kukawa na ndege inayoenda hiyo sehemu basi bila kuangalia ni kilo ngapi
  unatakiwa kupelekwa siku hiyo hiyo ....sasa hii ni kichekesho mwisho wanaomba msamaha
  shenzi kabisa wanalazimisha kutoa pesa hata kwenye sheria..nahisi wanaitajika
  kupelekwa shule na kujulishwa ujinga wao na awana mamlaka ya kusimama kama
  airline wakati wao ni customs

  ficha ujinga wako
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Huna adabu
   
Loading...