Makanda waoga.

Mangimeli

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,151
286
magwanda,mbona waoga ivyo wazee, maana ya makamanda ni nini? mnatakiwa muwe ngangari,sio kutishiwa kidogo tu ohh wanataka kutuua,makamanda awatakiwi kuogopa,ogopa vitisho bana,makamanda wa wapi nyie, mnatakiwa muwe ngangari, sitaki kusikia tena atuwezi kuwapa nchi kwa uoga huo .
 
Hivi kusema wanataka kukuua ina maana unaogopa....kama wataacha harakati zao za kupigania haki za wanyonge ndipo tutajua kuwa wameogopa.
 
Woga wao uko wapi? Ulitaka wakae kimya baada ya kugundua njama za kuwadhuru? Huo wala tusingeuita ujasiri. Ujasiri wao umejidhihirisha ktk kusema wazi mbele ya waandishi wa habari. Au huelewi maana ya "woga"?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom