Deo Filikunjombe alikuwa serious au alitania?

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
709
Habari wadau wa JF.
Ktk pambano la wabunge ambao ni mashabiki wa timu za Simba na Yanga timu ya simba ilishinda 3-2.
Miongoni mwa wachezaji wa yanga alikuwa mbunge wa Ludewa,
Deo Filikunjombe.
Kichekesho ni pale Filikunjombe alipohojiwa na waandishi wa habari sababu za yanga kushindwa. Yeye alidai simba imemchezesha Maji Marefu ambao dunia nzima inafahamu kuwa yeye ni mchawi ndo maana wao yanga wamefungwa.
Sasa was he serious or just joking?
 
Huo ni utani tu, ndio maana hata yeye mwenyewe ameishia kucheka tu.
 
Huo mchezo ulikuwa serious au kujifurahisha tu, ninaposema serious na maanisha ulikuwa wa mashindano au la, ukipata jibu tafakari chukua hatua!
 
Prof Maji Marefu ni mganga wa kienyeji, sio mchawi!

kuna mwanajf hapa aliwahi kuandika quote isemayo hivi( naomba kusahihishwa) ...hakuna mtu anaitwa 'witchdoctor'ni lazima awe 'witch' au 'doctor'full stop!
 
Me Nadhani sio Dunia Nzima wanaomfahamu Nimemuuliza Dogo Mmoja alikuwa anapita Kitaa Akasema Hamjui wala hajawahi Msikia mtu aitwae Maji Marefu
 
Back
Top Bottom