Wadau nimejiuliza na kukosa majibu, hivi kweli tasisi nyeti namna hii inashindwa kuwa na namna nzuri na ya kisasa ya kuwasilisha maombi ya kazi kwa njia ya E-mail mpaka tutumie posta? je kuna...
Wakati wa taarifa ya habari ya TBC1, nimekuwa nikisikia (hata jana saa 2 usiku) mtangazaji akisema '.......Habari yetu Muhimu ya Leo' akiwa anamaanisha miongoni mwa habari zote zilisomwa siku...
Kuna wana Diaspora wengi walirudi nyumbani miaka ya karibuni kufungua kampuni zao na wengine kufanya kazi. Je wanaendeleaje. Kama wewe ni mwana Diaspora uliyerudi tupe ukweli hapa tuelewe. Kama...
Habari za kweli ni kwamba Sheikh Sharrif bado ni Muislamu. Sheikh sharrif bado anaendelea kutoa mada mbalimbali za kufundisha dini ya Kiislamu na tabia njema kwa binadamu wote. Kwa mawasiliano...
Mahekalu ya vigogo Dar yabomolewa
Send to a friend
Tuesday, 10 July 2012 20:21
Mwananchi
NI NYUMBA, KUTA ZA MABILIONI ZILIZOJENGWA UFUKWENI, MMOJA AKIMBILIA KORTINI KUZUIA JUMBA...
Kwanini mng'ang'anie nyumba zisizo za Jeshi lenu? Hamna zenu? Ni hivi Wakuu: Jeshi la Polisi limegoma kutoa Askari wake wanaoishi katika nyumba za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pale Geti Maji...
Hatimae majenereta ya kufua umeme yasiyopungua 12 Yaliyofungwa eneo la njiro tanesko ya kampuni ya agreco & symbion yamewashwa rasmi leo.ni mwendelezo uleule wa kuzitafuna pesa za watanzania...
Kama kuna vitu vinanikera ni ma-sms yanayoyumwa na kampuni bila utaratibu. Kwanza kwa siku unatumiwa sms zaidi ya 20 halafu zote ni utumbo mtupu. Ukinunua muda kwa tigopesa lazima zije sms kama 5...
Kwa kipindi kirefu wakazi wa Mtonga Juu Korogwe wamekosa umeme wa Tanesco bila kuelewa sababu!? Ukweli ni kwamba wakazi wengi wa Mtonga juu wamejiandaa siku nyingi kupata umeme wa Tanesco lakini...
Watu wanane wafariki dunia kigogo buyuni wilayani ilala jijini dar baada ya kunywa gongo inayosadikiwa kuchanganywa na spirit pamoja na JIKI ili kuiongezea ukali.source:STAR TV HABARI.
Huyu mimi sikumbaka bali tulikubaliana nae kufanya mapenzi na ndio maana nakiri mbele ya mahakama hii kuwa nilifanya nae mapenzi. Alisema mshitakiwa.
Lakini mahakama hai kusikiliza hilo na...
I am just a Tanzanian Dr, I am not MSD all I can do is advice you which medications and tests are best fit to improve your condition. I cannot pay for your MEDICATIONS, I cannot pay for your TESTS...
Madaktari kila siku wanashuhudia vifo.
vya aina mbili:
Moja:Kuna watu wanaokuja hospitalini wakikaribia kufa,lakini si lazima wafe kwa sababunkuwepo kwa basic medicines na utaalamu wa daktari...
Habari wanajamvi.
Katika pitapita zangu nimekutana na hili tangazo kutoka Jeshi la Ulinzi na Usalama Tanzania (TPDF) na limeniacha na maswali kadhaa. Naombeni mwenye fikira kama zangu aungane...
Habari za leo,
Kuna Maonyesho ya kibiashara yanayoendelea jijini Arusha katika Hoteli ya Naura Springs.Hivi nikajiuliza...
Mbona hii nchi iko vitani na bado balozi zake zinadhubutu kufanya kazi...
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hawezi kujipeleka polisi kuhojiwa kutokana na kauli yake kwamba yeye na viongozi wengine wawili wa chama hicho wanatishiwa kuuawa na kigogo mmoja...
Wanajamnvi heshima mbele,
Napenda kufahamu hawa watu wa GNLD na freemasons wana uhusino gani maana kuna stori kuwa hawa freemasons sasa wameamua kuja indirectly, na sasa wanapitia mlango wa nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.