kikwete si dhaifu ispokuwa sisi watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kikwete si dhaifu ispokuwa sisi watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkisumuno, Jul 10, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika kutafakari nimegundua kikwete si dhaifu ila sisi watanzania Watanzania tunaporojo na wanafiki kwa mambo ya msingi. Ninamaanisha kilichotufanya tumchague Kikwete licha ya udhaifu alioonyesha awamu ya kwanza ninini? Leo madaktari wanagoma kwa ajili ya kuboresha huduma mahospitalini watanzania wanawalaumu, baadala ya kuandamana na kuishinikiza serikali ikae na madaktari wafikie muafaka tunalalamika tu. Rais katoa hotuba ya hovyo na kibabe watu wanaandamana kuunga mkono hotuba, wabunge wa CCM wanafurahia na kupongeza hotuba hiyo UNAFIKI! Walimu wanapanga kugoma wapo watu wanawabeza baadala ya kuwaunga mkono kwa kuishinikiza serikali itatue matatizo ya kijamii watanzania tunasubiri kuunga mkono hotuba ya Kikwete. Wanawapa wawekezaji Ardhi yetu, Wabunge wanapongeza UNAFIKI na kujipendekeza.Usalama waTaifa unafanya upuuzi wa kuteka watu bado tupo tunashangaa na wengine wanashangilia. Kwa ufupi CCM na kikwete wanatuenjoy kwani wanajua hakuna kitakachoendelea, wanaua, wanateka, wanakula nchi, wanaiba rasilimali huku wakitudhihaki! Mbunge anakazi gani muhimu kuliko mwalimu na daktari kiasi cha kulipwa pesa nying jamani,sheria wanazotunga ni za kuwalinda wao, Vinaundwa vyombo kwa ajili ya kupeana vyeo, ona TAKUKURU wanafanya nini rushwa imekuwa kitu halali. Hivi kunahitajika nguvu gani kuwakamata traffic wanaokularushwa barabarani jamani mbona watanzania tumekuwa wanyonge mno. Tunatakiwa tufanye kitu hali inakokwenda ni mbaya. Kikwete amejaa kiburi cha ajabu anaposhauriwa kukaa na madaktari anapuza kwa vile tu anajua watanzania ni dhaifu hawawezi kufanya lolote. EEE MUNGU TUNUSURU
   
 2. Wile GAMBA

  Wile GAMBA JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sahihi sana mkuu!
   
 3. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Well said and much appreciated mkuu.
   
 4. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika kutafakari nimegundua kikwete si dhaifu ila sisi watanzania Watanzania tunaporojo na wanafiki kwa mambo ya msingi. Ninamaanisha kilichotufanya tumchague Kikwete licha ya udhaifu alioonyesha awamu ya kwanza ninini? Leo madaktari wanagoma kwa ajili ya kuboresha huduma mahospitalini watanzania wanawalaumu, baadala ya kuandamana na kuishinikiza serikali ikae na madaktari wafikie muafaka tunalalamika tu. Rais katoa hotuba ya hovyo na kibabe watu wanaandamana kuunga mkono hotuba, wabunge wa CCM wanafurahia na kupongeza hotuba hiyo UNAFIKI! Walimu wanapanga kugoma wapo watu wanawabeza baadala ya kuwaunga mkono kwa kuishinikiza serikali itatue matatizo ya kijamii watanzania tunasubiri kuunga mkono hotuba ya Kikwete. Wanawapa wawekezaji Ardhi yetu, Wabunge wanapongeza UNAFIKI na kujipendekeza.Usalama waTaifa unafanya upuuzi wa kuteka watu bado tupo tunashangaa na wengine wanashangilia. Kwa ufupi CCM na kikwete wanatuenjoy kwani wanajua hakuna kitakachoendelea, wanaua, wanateka, wanakula nchi, wanaiba rasilimali huku wakitudhihaki! Mbunge anakazi gani muhimu kuliko mwalimu na daktari kiasi cha kulipwa pesa nying jamani,sheria wanazotunga ni za kuwalinda wao, Vinaundwa vyombo kwa ajili ya kupeana vyeo, ona TAKUKURU wanafanya nini rushwa imekuwa kitu halali. Hivi kunahitajika nguvu gani kuwakamata traffic wanaokularushwa barabarani jamani mbona watanzania tumekuwa wanyonge mno. Tunatakiwa tufanye kitu hali inakokwenda ni mbaya. Kikwete amejaa kiburi cha ajabu anaposhauriwa kukaa na madaktari anapuza kwa vile tu anajua watanzania ni dhaifu hawawezi kufanya lolote. EEE MUNGU TUNUSURU NA KUTUPA UFAHAMU!!!!!!!!!!!!!
   
 5. M

  Mwanaharakati Mkweli Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado upo huko duh zamani sana
   
 6. m

  markj JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  wewe ndo mdhaifu mbona hukuandamana unaishia kuropoka humu kwenye jf!
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye red color panahusika ndugu! hawa ndo wanatupeleka chaka sana katika maendeleo na mstakabali wa hali hii kwa sasa! hawa ndo tuwachukulie hatua! wala hainna haja ya kutumia nguvu saaana! akili tu! :wacko:
   
 8. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli mdau ss wtz ndo wadhaifu kila baya tunalofanyiwa tunalalamika chumbani au hapa jf na upepo unapita hakuna action yyte .kuna mtu ametoa wazo wana jf wote tukutane jangwani watu wamechomea tutaendelea kukandamizwa milele bora niende zangu mweda Msumbiji
   
Loading...