Wakwepa kodi wa kati!

rkyaruzi

Member
Apr 14, 2009
48
14
Juzi moyo wangu uliumia sana. Nilikutana na Mchungaji wa kanisa moja lililoko kitunda. Anatoka Kariakoo na vifaa vya muziki kwa ajili ya kanisa. Katika kuongea hili na lile nikapewa risti zao. Wameuziwa vifaa kwa 1,550,000/- kwa mujibu wa maelezo yao hiyo ndo hela halisi waliyolipa. Cha kushangaza wakapewa risti mbili, moja ya kuandikwa kwa mkono na ndo haitaonwa na TRA na ile ya mtandao wa TRA inaonyesha 250,000/ na kodi ni 31,000/. Nikajihisi mwili nkunisisimuka, kodi halisi ilitakiwa iwe 279,000/- na hivyo waweza kujua serikali inapoteza ngapi kwa wiki, mwezi, mwaka kwa duka moja tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom