Kikwete kushitakiwa mara atakapoachia madaraka

wakuwaza

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
315
79
Miongoni mwa makosa makubwa sana aliyofanya Jakaya Kikwete katika urais wake ni kitendo cha kumruhusu Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kwenda mahakamani kutoa ushahidi. Mkapa alitoa ushahidi dhidi ya Serikali katika kesi inayomkabili Profesa Mahalu. Nyerere ameshafariki dunia, Mwinyi hana maneno na mtu hata akipita mitaani. Mkapa tayari ameshafika mahakamani kutoa ushahidi—tena dhidi ya Serikali ile ile inayomshitaki Mahalu. Kitakachofuata sasa ni kuwa Kikwete naye atakwenda mahakamani kama Mkapa alivyokwenda, lakini siyo kutoa ushahidi kama alivyotoa Mkapa, bali kushitakiwa. Hayo ni maono yangu.
 
Binafsi sioni kama kuna imuhimu wa kushtakiwa mh.rais wetu wa jamhuri ya muungano wa TZ,Unajua tuzungumze ukweli tu jamani,hata wewe ukipewa urais leo hii lazima uatakosolewa,
si unajua kuwa aliyekuwa nje ya uwanja anauona mpira sana kuliko mchezaji ndani ya uwanja? MAWAZO YAKO BADO FINYU ,TAFAKARI KISHA MPE HONGERA MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO JK...OYEEEEEEEEEEE"
 
Binafsi sioni kama kuna imuhimu wa kushtakiwa mh.rais wetu wa jamhuri ya muungano wa TZ,Unajua tuzungumze ukweli tu jamani,hata wewe ukipewa urais leo hii lazima uatakosolewa,
si unajua kuwa aliyekuwa nje ya uwanja anauona mpira sana kuliko mchezaji ndani ya uwanja? MAWAZO YAKO BADO FINYU ,TAFAKARI KISHA MPE HONGERA MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO JK...OYEEEEEEEEEEE"
Nimpe hongera kwa Meremeta? Kagoda? kwa kuwashtaki waliotafuna hela zetu za EPA? kwa kuwatajirisha waliomzunguka na kuwaacha Watanzania wengi wakiwa maskini? Kwa kuifilisi nchi hadi Hazina haina fedha? Nipe sababu moja tu ya kumpongeza kisha hizo nyingine zote nitaziacha.
 
Miongoni mwa makosa makubwa sana aliyofanya Jakaya Kikwete katika urais wake ni kitendo cha kumruhusu Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kwenda mahakamani kutoa ushahidi. Mkapa alitoa ushahidi dhidi ya Serikali katika kesi inayomkabili Profesa Mahalu. Nyerere ameshafariki dunia, Mwinyi hana maneno na mtu hata akipita mitaani. Mkapa tayari ameshafika mahakamani kutoa ushahidi-tena dhidi ya Serikali ile ile inayomshitaki Mahalu. Kitakachofuata sasa ni kuwa Kikwete naye atakwenda mahakamani kama Mkapa alivyokwenda, lakini siyo kutoa ushahidi kama alivyotoa Mkapa, bali kushitakiwa. Hayo ni maono yangu.

"Wakuwaza", hayo ni mawazo hasi kama tulipokuwa pale Kempisky ukishapata bia moja unaanza ropoka ovyo, wewe mwenyewe fisadi wa nguvu usianze kujinyea watakupata tu....
 
Back
Top Bottom