Kwa nini T(SH) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini T(SH)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kijakazi, Jul 10, 2012.

 1. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Hivi ni kwa nini serikali au makampuni au watu wa kawaida huwa wanaandika TSH (Tanzanian shilling) pale wanapotaja bei ya kitu? Kwa nini wasiandike tu Sh bila T? kwani tupo Tanzania kuna haja gani tena ya kuandika TSh? kila mtu anajua kwamba fedha inayotumika hapa kwetu ni shilingi ya Tanzania hivyo basi sitegemei thamani ya kitu iwe kwa Ugandan (USH) au Kenyan Shilling (KSH).
  Swali langu ni je kuna ulazima wowote?
  Kama kuna mtu anafahamu sababu hasa nitafurahi akaelezea!
   
Loading...