Ushauri kwa TANESCO: LUKU rusha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa TANESCO: LUKU rusha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kivyako, Jul 7, 2012.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,862
  Likes Received: 4,244
  Trophy Points: 280
  Kutokana na umuhimu wa tanesco kwa taifa hili, nawashauri wafuate mfumo wa makampuni ya simu kwa kuanzisha huduma ya kuongeza salio la luku kwa kurusha kwani itapunguza kero kwa wateja wenu kutokana na luku zenu kuwa vimeo, mf nina siku tatu niko gizani kutokana na key pad ya luku ku-jam, pia naomba mwenye kujua suluhu ya tatizo hili anisaidie wadau.
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,560
  Likes Received: 12,832
  Trophy Points: 280
  woooi mi nilinunua umeme kwa m pesa 4000 ijumaa na jumapili wa 1000 mpaka sasa haujaja na muamala wangu umesepa nimekoma kabisaaaa
   
 3. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hawa jamaa wananikera hata mimi maana mita yangu inakula kwasiku unit 7 halafu cna hata friji hata worker naombeni msaada wenu wadau hata kama kuichakachua.
   
 4. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,862
  Likes Received: 4,244
  Trophy Points: 280
  Du! pole maana tanesco na luku zao ni janga vilevile au wanataka mpaka tugome!
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,560
  Likes Received: 12,832
  Trophy Points: 280
  wanakera sn kwanza wekend huduma zinakuwa za kipmbav sana aghrrrrr
   
 6. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  bora mimi natumia kibatari.
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,560
  Likes Received: 12,832
  Trophy Points: 280
  aisee natangaza rasmi kuacha kutumia m pesa jana tena usiku wameniliza elfu mbili zangu
  nikipiga customer care hawapokei wala simu haiendi
   
 8. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Wewe unataka ugonvi na mawakala wa TANESCO, uliza wale watu wa maxmalipo wanakula asilimia ngapi?
   
Loading...