Mnyika, Slaa na Lema kuuawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika, Slaa na Lema kuuawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uliza_Bei, Jul 8, 2012.

 1. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  aache kuweweseka!
   
 3. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ameshasema serikali ndiyo imshughulikie kama siyo kweli
   
 4. u

  upara Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naamini habari hizo zitakuwa za kweli, mbona Mwakyembe alilalamika hivohivo mkanyamaza hadi yakamkuta masaibu yaliyo mkuta...na hili mnataka yatokee msingizie majambazi?
   
 5. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,166
  Trophy Points: 280
  Janjaweed Ya Whitehouse?
   
 6. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ni upepo tu utapita.
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hali hii inatisha sana, japokuwa siamini kama ndiyo dawa kabisa.
   
 8. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Serikali dhalimu siku zote hutumia mbinu dhalimu ku deal na issues at hand. Nadhani wameshindwa kudeal vema na dokta ulimboka sasa wamehamia cdm.
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mzee anaona umaarufu umeanza kupungua!
   
 10. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Amemsahau Mtei na Mbowe, na mtakufa kweli kudadadaadeki! Amaaaaaaaaaa. MEN AT WORK
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tunayo jamvini toka mchana.
   
 12. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dawa ni Kuokoka ili hata wakifa walau waambulie uzima wa Milele
   
 13. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Serikali dhalimu imekuwa Colombia hii
   
 14. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umaarufu upi alionao unamvimbisha kichwa tu?
   
 15. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanamapinduzi huwa hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu, nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  JKilaza ni kilaza wa kila idara/issue. CDM ni wateule wa Mungu.
   
 17. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Wawaue tu Liwalo na liwe.!
   
 18. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaah jamani kwani si wako na Mungu ya nini kuogopa kifo?
   
 19. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,603
  Trophy Points: 280
  Napata wasiwasi na hasira kusikia UWT kuhusishwa na kuua raia wake bila hatia,kwa nini wanatumwa kuaa bila kosa?au wao hawana mamlaka kuhoji kwa nini kuua wanasiasa bila kosa? Je ikitokea CDM wanashika dola itakuwaje?wataenda kuua tena CCM ambao watakuwa wapinzani??nakosa majibu!kama watawala hawataki kukosolewa na wapinzani wafute demokrasia!!!
   
 20. pixel

  pixel JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 1,628
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wewe,toa kichwa weka dafu.lusinde alifanya nn karatu?na ikujaje karatu kwenye mada hii?acha pombe,shame on u.
   
Loading...