Saturday, Jul 14 2012 3AM 23°F 6AM 22°F 5-Day Forecast
Bride who was ill for two years after being 'poisoned by toxic fish at five-star hotel' on honeymoon sues travel firm for hundreds of...
Kuna genge moja jijini DSM limejivika cheo cha jopo la viongozi wa kidini. Sii kweli kwamba watu hawa ni viongozi wa kidini bali ni genge la wajanja fulani ambao wamekuwa wakihaha kila kona ya...
Nimepeleka cheki yangu NMB, aliyenilipa ana akaunti Barclays. Zimepita wiki 2 salio halisomeki. Haimaye nimeenda kuulizia wakabofya kompyuta na kuniambia kuwa nina elfu kumi tu kwenye akaunti...
Labda tumechoka, tumeamua kubinafsisha hata jeshi. Zamani ilikuwa si rahisi kuingia kambi ya jeshi ukiwa na sifa za raia. Eti leo kwenye kambi za jeshi kunauzwa matrekta na powertillers, kuna...
Wadau
Napenda kuwajuza kuwa kumetokea ajali mbaya maeneo ya magomeni usalama ikihusisha pikipiki (bodaboda) na coaster ambapo dereva wa pikipiki na abiria wake wameumia vibaya.
Dereva pikipiki...
Salaam WanaJF
Taasisiya kiraia ya CPW (Citizen's Parliament Watch) Kesho itatoa matokeo ya Utafiti wake mwenendowa Viongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniakatika kusimamia jukumu...
Nchini Kenya kuna aina nyingi za polisi. Kuna polisi mmoja anayesifika kwa kutunga muziki na kuimba akiwa na magwanda ya kazi. Juzi juzi ameibuka polisi mwingine aitwaye Isaiah Sakwa anayehubiri...
Kama tulivyotarajia chama cha walimu CWT kimesitisha mgomo wa walimu ambao ulikuwa uanze wiki ijayo, lakini kwa kustajabisha mgomo umesitishwa. Je nini hatima ya matatizo ya walimu? Je walimu...
Hi all,
I'm pleased to invite you into a meeting that can change your life into something you have never imagined.
It's a two-hour free of charge meeting that will have you thank me a lot for...
Jamani naomba mwenye kufahamu anifahamishe. DC WA WILAYA YA HANDENI BW. MUHUNGO amepewa maagizo na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kapteni HONESTI ERNEST MWANOSSA kufuatilia na...
Hivi umeshawahi kujiuliza
karibu matangazo yote na mengine muhimu kweli ni lazimwa watuwekee kwa njia ya nyimbo
ukiangalia matangazo ya ukimwi,,vitambulisho..sasa yamekuja matangazo ya katiba...
Nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoenda ndani ya serikali na kujaribu kufikiria ni nini kitampata magufuli endapo atathubutu kulivunja jengo la tanesko pale ubungo.
najiuliza au wanataka...
Wadau najuwa wengi mmeona ile blog ya ccm lakini ujaona blog ya cdm (m4c) japo naona bado ipo kwenye matengezo toa maoni yako click hapa www.movement4c.blogspot.com
Wadau
Siku ambayo Ulimboka atarudi tz tukampokee kwa wingi airport na tumbebe hadi jangwani aweze kutusimulia kisa kizima,
Hatutaki polisi waseme hadi tuwe na kibali kwa kuwa ni watu wengi...
MKUU HUWAnatafakari mateso aliyoyapata dr ulimboka moyo unauma sana ila najipa moyo kwa kujihoji dr ulimboka amebaki hai kwa mpango wa mungu ili se....li iache mchezo wake wa kuwatuliza wanao...
Tulimlaumu sana Mkapa kwa kukiuka maadili ya uongozi na kujiuzia mgodi wa Kiwira. Aliitwa fisadi na kuzomewa hadi na watoto wadogo, na wengi hata tukitaka afikishwe mahakamani, na moto wa madai...
source: Disable Windows Sidebar and Gadgets NOW on Vista and Windows 7. Microsoft warns of security risk | Naked Security
Users of Windows Vista and Windows 7 have been advised to completely...
Kwa nini watu wakiwa University wakaambiwa kusoma list ya vitabu kadhaa, mithani ukiletwa wanapasua Grade A.
Lakini watu walewale wakiwa makazini, wanakuwa wavivu kusoma documents wakisema ni...
Clouds FM inafanya mahojiano na yule dogo aliyeandika bongo fleva kwenye mitihani ya kidato cha nne mwaka 2011. Dogo anadai alifanya hivyo ili kufikisha ujumbe kwa wahusika kuwa mfumo wa sasa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.