Ajali mbaya maeneo ya Magomeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya maeneo ya Magomeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muyombake, Jul 13, 2012.

 1. m

  muyombake Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau
  Napenda kuwajuza kuwa kumetokea ajali mbaya maeneo ya magomeni usalama ikihusisha pikipiki (bodaboda) na coaster ambapo dereva wa pikipiki na abiria wake wameumia vibaya.

  Dereva pikipiki amevunjika mguu katika ajali hiyo na abiria wake amevunjika mkono na kuumia vibaya kichwani.

  Polisi waliokuwa eneo hili wamewachukua majeruhi hao na kuwapeleka hospitali kwa ajili ya kupata huduma ya kitabibu.

  Usafiri wa pikipiki kwa upande mwingine unasaidia sana
  hasa katika dharura au foleni ya magari. Ajali za pikipiki zinakuwa nyingi kwa sababu madereva walio wengi hawana ujuzi na uzoefu wa kuendesha pikipiki.

  Tazama picha za ajali hiyo.
   

  Attached Files:

 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Duh!Pole zao!!..........combination ya bodaboda na daladala ni deadly...!!!
   
 3. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huwa hakuna ajali mbaya na nzuri.Ajali zote ni mbaya.
   
 4. A

  ALLYHASSANY New Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,070
  Trophy Points: 280
  Poleni sana na asante kwa taarifa ambayo imekamilika idara zote ila sitashangaa kuona watu wakija na kudai taarifa yako haijakamilika maana hawasikii watu wakiongea au hawaoni hio Coaster
   
 6. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  eeeh pole zao mie naogopa sana pikipiki,wakuu nawasii msipande boda boda
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  poleni wahanga,hizi ajali za pikipiki zitatumaliza
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Madereva wa pikipiki ni wazembe sanaa,barabara yenyewe ni nyembamba sana hiyo wanaitengeza hao Strabag!
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,348
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  si usafiri wa kuuzoea lakini kuna wakati inalazimika na hapo ndio tatizo lilipo maana hujui tatizo linaweza kutokea wakati gani.
   
 10. k

  kitero JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vyombo husika visipokuwa makini kila siku tutasikia haya.Mwenyezi Mungu awaponye na kutuepusha na haya majanga.
   
 11. cement

  cement JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 586
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  poleni sana
   
 12. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sijui ni kwanini wale polisi kituo cha Bunju walimuacha tu Dr Ulimboka bila kumpeleka haraka hospitali...
   
 13. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,656
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  DALA DALA ni watu wajinga sana ...ukijumlisha ujinga wa bajaj na hao mnaita bodaboda ni kifo kabisaaa....hawa ni watu wa ajabu sana kabisa...
   
 14. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 793
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Poleni ila hawa waendesha pikipiki watatumaliza
   
 15. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Poleni sana majeruhi,
   
 16. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,483
  Likes Received: 1,822
  Trophy Points: 280
  Wale wa pikipiki walio umia nawatakia mapumziko mema wodini, madaktari wako kwenye mgomo!
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,540
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Poleni sana
   
 18. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Walipata mshtuko,lol!
   
 19. B

  Biti Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah, lakini kuna madereva wazuri wa bodaboda, wakati mwingine anayesababisha ajali
   
 20. zacha

  zacha JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2009
  Messages: 391
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  watu wanaumia kama hivi wakienda hosp hakuna huduma et kuna mgomo wa ma dr..! imbombo ilipo!
   
Loading...