Kwanini Walimu wasiunde chama kingine zaidi ya CWT? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Walimu wasiunde chama kingine zaidi ya CWT?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sema Chilo, Jul 13, 2012.

 1. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama tulivyotarajia chama cha walimu CWT kimesitisha mgomo wa walimu ambao ulikuwa uanze wiki ijayo, lakini kwa kustajabisha mgomo umesitishwa. Je nini hatima ya matatizo ya walimu? Je walimu hawana uwezo wa kukivunja hiki chama ambacho nahisi hakina tena maslahi kwa walimu japo kinakata 2% ya mshahara kila mwezi wa walimu.
   
 2. M

  MUNYAMAKWA Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuunda chama kingine ni sawa na kuhamishia pesa mfuko mwingine kwenye suruali hiyohiyo
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  sisi hatugomi.
   
Loading...