Polisi anapohubiri dini akiwa na magwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi anapohubiri dini akiwa na magwanda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Jul 13, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]  • [​IMG]
   • [​IMG]

  Nchini Kenya kuna aina nyingi za polisi. Kuna polisi mmoja anayesifika kwa kutunga muziki na kuimba akiwa na magwanda ya kazi. Juzi juzi ameibuka polisi mwingine aitwaye Isaiah Sakwa anayehubiri injili akiwa amevalia magwanda za kazi. Wengi wanajiuliza haya yangetokea nchi jirani ya Tanzania ambapo kuna dalili za uhasama wa kidini hali ingekuwaje? Je ni halali kwa polisi kuvaa magwanda na kuhubiri injili au kushiriki michezo ya kuigiza? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Safi sana Polisi.
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hii kidogo inachanganya wanangu. Hata hivyo hatujui katiba ya Kenya inasemaje kuhusu dini na siasa. Hivyo kwangu ni mapema kutoa busara zangu.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli hili la udini hainiingia tena na mavazi ya serikali.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Nazani Sheria na kanuni za kenya zinatofautiana na Tanzania.
   
 6. Githeri

  Githeri JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yaani umenichekesha hasa hiyo picture ya polisi. Sijui ndo yeye au la! Siku moja maeneo ya Nairobi nilisikia muhubiri wa dini ktk mengi alokuwa akinena, akasema polisi wa TZ ni waoga kuliko watchman wa Kenya. Dah! Ilini touch sana
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hiyo kweli kabisa,ungeona ilivyokuwa hapa Arusha wakati ule usingeshangaa! kuna jamaa alitoka kijijini alipofika mjini akaporwa na vibaka mbele ya polisi bila msaada wowote kutoka kwa polisi, jamaa akasema "BORA MUGAMBO WA KIJIJINI ANA MUSAADA KULIKO POLISI WA MUJINI"
   
 8. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,700
  Likes Received: 693
  Trophy Points: 280
  hiyo kali.
   
Loading...