CCM BLOG V/S M4C blog nani zaidi.......

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,164
548
Wadau najuwa wengi mmeona ile blog ya ccm lakini ujaona blog ya cdm (m4c) japo naona bado ipo kwenye matengezo toa maoni yako click hapa www.movement4c.blogspot.com
 
Ni ya ukweli mtengenezaji kajitaidi sana full mapipozz power mm nimechek kwa simu link yake hii hapa M4C sasa kama admin wake yupo hapa mawasiliano yanaitajika ni pm nkupe
 
M4C ni blog ambayo ipo current zaidi ya website cdm kwa sasa lakini nimeongea na admin/blogger M4C kasema anataka M4C blog iwe na Domain ya .com soon M4C itakuwa inashirikiana na wadau mbalimbali kupata habari M4C
 
Nimeona wameweka matangazo ya jamiiforums sasa sielewi kama wana sheres au
 
Ni nzuri ila sijapenda ile botton ya kushoto ya Twitter Google + FB, inaziba baadhi ya maandishi yasisomeke.
 
Back
Top Bottom