Jaman fungua chanel ten kipnd cha je tutafika dr azavel rwaitama anazungumza anazungumza.Pale kwenye theme wamemanisha nini kuandika INPENDENCE OF WESTERN SAHARA. wamemanisha independence au? Mh...
Nilikuwa naangalia habari cnn,wamemwonyesha dogo wa miaka 8 kilelen mlima kilimanjaro. Main aim wa to raise fund kwa watu wenye ulemavu.
Source:Isha Sesay CNN
Ni kutokana na utoaji maoni ulioanza kushika kasi huko Zanzibar Unguja ,kinachoendelea ni kutaka serikali mbili kila moja na yake Tanganyika kwao na Zanzibar kwao ushirika uwepo ikiwa kutakuwepo...
Mimi nafikiri inaposemwa kuwa serikali ya TZ,Inawafanyakazi 300,000.inamaana kuwa nao wamo sasa kuwambia wapo wengi maana yake nini?hawana umuhimu HAWANA MAJUKUMU,au vipi? Basi wapunguzwe wabaki...
Madiwani wanakaa madarakani miaka mitano tu,ni vizuri sana serikali imefikiri ikaona ni vizuri ikawakopesha usafiri maana yake wanakopesheka. Mfanyakazi aliye na...
Bibi Li Xiufeng baada ya kuzinduka toka kuzimu
Monday, March 12, 2012 1:09 AM
Alitangazwa kuwa amefariki dunia, mwili wake uliwekwa kwenye jeneza, jeneza liliwekwa sehemu ya wazi ili watu waweze...
Kwa uchungu namlilia spika wangu makini, mzee wa speed na viwango. Yaani nikiangalia hawa vilaza waliobaki naona kama vile wanatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Bunge. Kiti kimechuja...
Wadau karibuni tupate data za juu ya hili tatizo la afya na nini kifanyike..... Kipima joto cha itv kipo hewani sa 3 usiku huuu... karibuni
kuna washiriki wanne hapa... wanajaribu kiutoa data...
Leo asubuhi nimefanikiwa kusikiliza Interview ya kijana Julius aliyeandika Verses/Rhymes ama mistari ya hip hop -bongofleva kwenye karatasi ya majibu mtihani wa Form 4- NECTA uliofanywa...
Na Kijakazi Abdalla, ZJMMC
WAKATI mwezi wa mfungo mtukufu wa Ramadhani ukikaribia bei za bidhaa mbalimbali zinaonekana kupanda zaidi ikilinganishwa na miezi ya nyuma.
Wakizungumza na...
Nimefuatilia kwa karibu mwenendo wa rafiki yetu William John Malecela katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kushindwa kutoa hitimisho juu ya nini kinachomsibu kwa sasa.
Nilimfahamu William...
CWT tafadhali toeni tamko walimu tupotayari kugoma. Mkoba mbona hueleweki? Tumesaini fomu ya kukubali mgomo na mkasema tusubiri tangazo la siku ya kuanza mgomo sasa tunasikia kauli zisizo za...
Wakuu nashangazwa sana na kasi ya hii serikali kushikilia kujenga mradi wa majumba ya kifahari Kigamboni kana kwamba ndio suruhisho la umaskini wetu. Nchi yetu haina maji safi sehemu nyingi na...
Legend: Friday the 13th is a day fraught with peril.
Origins: Although most of us would probably affirm that superstition's role in Western culture is now a much diminished one, more a...
Kindly note there is a new techniqueused by robbers and carjackers to escape from arrest due to their criminal activities. They are collecting used scratch cards and once they abandon the car or...
Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN...
Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi, imetenga zaidi ya nusu ya bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2012/13 kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mji mpya wa kigamboni, Fedha...
Mimi ni mpenzi sana wa kipindi cha Ze Komedi na ningependa wawe wanarusha kila siku ila wao wanarusha once in a week yaani alhamisi. Kwa siku ambazo hakuna ze comedy huwa naangalia Bunge ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.