Hivi kila tangazo tunawekewa muziki;tangazo la katiba tunaimbiwa muziki..ni vichwa vimejaa maji ama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kila tangazo tunawekewa muziki;tangazo la katiba tunaimbiwa muziki..ni vichwa vimejaa maji ama?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 13, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,277
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Hivi umeshawahi kujiuliza
  karibu matangazo yote na mengine muhimu kweli ni lazimwa watuwekee kwa njia ya nyimbo
  ukiangalia matangazo ya ukimwi,,vitambulisho..sasa yamekuja matangazo ya katiba
  eeewe mwananchi ....kuwa makini nenda katoe maoni yako ya katiba..yaani mwanzoni
  tangazo linaanza nikaona mwanangu anacheza ....eeeh mara nikaanza kusikia mwadilifu wangu
  kaka yetuu naniino anaanza kurapu mambo ya katiba


  duh jamani hivi tukiwekewa tangazo tu bila kuwekwa kwa njia ya muziki ni kwamba atuelewi
  ama vichwa vyetu vimejaa maji kuelewa
   
Loading...