kumbi za starehe jeshini

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Labda tumechoka, tumeamua kubinafsisha hata jeshi. Zamani ilikuwa si rahisi kuingia kambi ya jeshi ukiwa na sifa za raia. Eti leo kwenye kambi za jeshi kunauzwa matrekta na powertillers, kuna kumbi za kubinjuka za kukodishwa! Unakuta tangazo eti usipige picha eneo la jeshi wakati huo huo unaruhusiwa kuingia na kwenye ukumbi kama pale Lugalo Makongo ukiwa na video Kamera.. Upuuzi mtupu!,
 
Back
Top Bottom