Wadau,
Anayeota ndoto ya kuanzisha radio station sasa nimetengeneza bandle nzuri ya vifaa kutoka UK utapata kila kitu kwa Dola 11,000/= za Marekani.
Studio Equipments.
8 Channel mixer, CD/MP3...
Habari zenu wakuu,
nawasilisha ombi langu kwa mods, naomba muanzshe jukwaa la "breakng news" ili iwe rahsi kupata/kupost habr za dharura na za harka, kwa mfn wakat nipockia habr ya kzma kwa meli...
ukweli ni kwamba ni lazima viongozi wa bongo msome alama za nyakati,pia watofautishe ishu za wasomi na chingaz.wanacheza na madocta kama watoto wadogo wakati madocta wanawatega kwa kamba ya...
Kweli imedhihiri uongo ni kazi mtu unatakiwa ujipange na kujiandaa pale unapotaka kuongopa, Kumbe kwa Gwajima watu hawaungami! Sasa Kova anasemaje kuwa yule mwendawazimu alienda kuungama pale na...
Nimesikitika mkubwa mmoja amedai hajui meli iliyozama ni Mv. Skagit au Mv. Seagul : na tumesoma mtandaoni TZ imeuziwa majeneza(meli mbovu toka Marekani) huenda hii mojawapo. After buying flying...
ukweli ni kwamba ni lazima viongozi wa bongo msome alama za nyakati,pia watofautishe ishu za wasomi na chingaz.wanacheza na madocta kama watoto wadogo wakati madocta wanawatega kwa kamba aya...
Wakuu naomba kuelewa ni jinsi gani naweza kununua gari UK nikiwa TANZANIA?je kuna usalama kutumia makampuni yanayojitangaza kwenye internet au nifanyeje?
Ule msemo usemao lipa zuri kwa ubaya umejidhihirisha jana bungeni pale wabunge wa CDM walipoungana na wabunge wa cuf kususia kikao cha bunge baada ya spika kukataa hoja ya mbunge wa cuf mh hamad...
Mara nyingine nashangazwa sana na kauli za Polisi, kama hii iliyotolewa na RPC wa Kinondoni kwamba lile fuvu lililopatikana katika baa ya mfanyabiashara pale Kawe, haijulikani kama ni la binadamu...
Hebu tulitazame hili la ajari kutokea na kutokuwa na idadi kamili ya abiria waliopo katika chombo. Kwanini mamlaka husika hazikomeshi uzembe huu?, ni kipi kifanyike ili kuepuka fedheha hii?!
hv karibuni kumekuwa mijadala juu ya kusimamishwa kazi kwa mgurugenzi wa tanesco bw. mhando na mgao wa umeme unaotarajiwa kuanza hv punde,cha ajabu nilichosikia katika mjadala huo eti generali...
Baada ya Bunge kupokea taarifa tangulizi toka serikalini juu ya ajali ya boat ya Seagul ilozama jana ktk bahari ya Hindi; serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia msemaji wake wa...
TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids) imesema kipimo cha kupima ukimwi kwa kutumia mate kitaanza kutumika mwakani kwenye mahospitali.
Kifaa hicho kilichotengenezwa na wanasayansi wa nchini...
taarifa za ajali ya meli leo Zanzibar imechelewa kutufikia watanzania, muda mwingi vyombo hivi vinapiga muziki kama vile Tz ni nchi ya musician....
nimeangalia chanel tena habari,wameshidwa hata...
Msiba mkubwa wa taifa letu, hawa wameacha wajane na yatima, je formular gani inatumika katika serikari kutoa rambirambi maana tumeshuhudia mamilioni yakitolewa kama rambirambi rasmi, utaratibu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.