Posho ya wabunge ya siku moja kutoa rambirambi ya wahanga wa ajali ya Mv Seagul

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Baada ya Bunge kupokea taarifa tangulizi toka serikalini juu ya ajali ya boat ya Seagul ilozama jana ktk bahari ya Hindi; serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia msemaji wake wa serikali Bungeni imetangaza siku tatu za maombolezo.
Sambamba na hilo Wabunge wameridhia kutoa posho yao ya siku moja kwa ajili ya wahanga wote wa ajali hii ya boat.
Mungu aziweke roho za marehemu wote mahali pema Peponi.
Amin.
 
Back
Top Bottom