Jeneza au meli?

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Nimesikitika mkubwa mmoja amedai hajui meli iliyozama ni Mv. Skagit au Mv. Seagul : na tumesoma mtandaoni TZ imeuziwa majeneza(meli mbovu toka Marekani) huenda hii mojawapo. After buying flying coffin(Atcl) they also brought sailing coffin! Viongozi msiume maneno na tunawaomba mnunue vitu vipya kisheria
 
Si jeneza mkuu, ni meli hiyo iliyozama kwani hata gari lako,nyumba yako na kila kitu ambacho wewe ulicho nacho na ambacho unakiamini kweli-kweli chaweza kuwa jeneza lako.
 
Kweli chaweza kuwa jeneza ila unapotembelea gari haina break ukipata ajali usiseme bahati mbaya. Tufanye yanayotuhusu halafu mengine tumwachie Mungu
 
Nimesikitika mkubwa mmoja amedai hajui meli iliyozama ni Mv. Skagit au Mv. Seagul : na tumesoma mtandaoni TZ imeuziwa majeneza(meli mbovu toka Marekani) huenda hii mojawapo. After buying flying coffin(Atcl) they also brought sailing coffin! Viongozi msiume maneno na tunawaomba mnunue vitu vipya kisheria

Serekali iliidhinisha ununuzi wa chakavu kwa sheria.
 
Kweli chaweza kuwa jeneza ila unapotembelea gari haina break ukipata ajali usiseme bahati mbaya. Tufanye yanayotuhusu halafu mengine tumwachie Mungu

Nimeipenda hiyo underlined sentence,hii inathibitisha kuwa iliyozama ni meli mkuu nasi jeneza,ukisema jeneza si sawa ebu edit hii post-heading tafadhali.
 
Hata nikibadili niite meli bado kuna assignment hatukufanya zinatushitaki kuwa chanzo cha meli hii kuzama....watu wa lugha wataniunga mkono...matumizi ya jeneza ni kuvuta attention lakini maana inabaki ileile
 
Sheria zetu pia zinawakataza wakuu kununua vyombo vichakavu lakini hawasikii wanabadili vifungu ili chakavu ifae kununuliwa
 
Hata nikibadili niite meli bado kuna assignment hatukufanya zinatushitaki kuwa chanzo cha meli hii kuzama....watu wa lugha wataniunga mkono...matumizi ya jeneza ni kuvuta attention lakini maana inabaki ileile

Ni kweli Mkuu, kuna ulegevu na kutowajibika. Katika kuzuia na kukabiliana na majanga (Disaster mitigation measures preparedness) kama haya, kuna taasisi ambazo zinatakiwa kufanya kwa pamoja. Kwa Jinsi hali ya bahari ilivyokuwa, hata wavuvi wa kawaida maeneo ya Kilwa waliogopa kwenda kuvua. Mbona Mamlaka ya Hali ya Hewa hawakutoa tahadhari kwa vyombo kutoingia baharini ?
 
Hatimaye sasa serikali imekubali hii siyo Seagull ni ile scraper wamarekani waliitupa miaka ya 90 na hatimaye kuuzwa TZ yaani MV Skagit JK.jpg
 
Back
Top Bottom