Tatizo mzee kova anashindwa kutofautisha watanzania wa 1920 na 2012.

gilguy

Member
Jun 20, 2012
22
4
ukweli ni kwamba ni lazima viongozi wa bongo msome alama za nyakati,pia watofautishe ishu za wasomi na chingaz.wanacheza na madocta kama watoto wadogo wakati madocta wanawatega kwa kamba aya mgomba nao wanakamatika.ningekuwa mimi kova ningerudi studio kama alivyosema kamanda sugu au ningejinyonga au kuachia ngazi.
 
du we hatari
 
Back
Top Bottom