Pata Vifaa vya Radio kwa $11,000/= FULL SET including transmitter.

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Wadau,

Anayeota ndoto ya kuanzisha radio station sasa nimetengeneza bandle nzuri ya vifaa kutoka UK utapata kila kitu kwa Dola 11,000/= za Marekani.

Studio Equipments.
8 Channel mixer, CD/MP3 Player, Monitor speakers, 2x microphones ( dynamic and condenser), 2 x table stands, monitor fader/mute switch, telephone hybrid. notebook computer. All installed in road case. If you need it as a desk top style.

Transmitter
TX 300 this provides 300watts or 45KMs ground level.

Jaman aliyetayari aniPM.

Hapa unakuwa kamili kamili kabisa.
 
Mkuu transmitter ya 300w, hiyo redio ya mtaa nini?
Mkuu shida ya TZ installation huwa ni poor sana. Kuna radio tumeweka watts 300 inasikika wilaya 4na kuna radio fulani pale DOM kuna 1KW lakini haimalizi hata wilaya nzima! Inshu ni installation. Kilomita 45-60 zinaweza kufikiwa bila shida.
 
Mkuu shida ya TZ installation huwa ni poor sana. Kuna radio tumeweka watts 300 inasikika wilaya 4na kuna radio fulani pale DOM kuna 1KW lakini haimalizi hata wilaya nzima! Inshu ni installation. Kilomita 45-60 zinaweza kufikiwa bila shida.
Nafikiri mkuu unamaanisha position ya elevation ya transmitter relative to the sorrounding.
Naweza kubaliana na wewe kama hiyo transmitter utaweka juu kilimani, hapo utapata hiyo 45-50km.
Mimi nia transmitter ya 1 KW na iaenda hadi 250km raduis kwa zile sehemu ambazo hazina obstruction.
Hata hivyo muhimu ni target audience yako.
Ni rushie PM ili nielewe aina ya vifaa na system, mi natumia BSE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom