Wabunge wa chadema wawaunga mkono wabunge wa cuf kutoka nje ya bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa chadema wawaunga mkono wabunge wa cuf kutoka nje ya bunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lugeye, Jul 19, 2012.

 1. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  Ule msemo usemao lipa zuri kwa ubaya umejidhihirisha jana bungeni pale wabunge wa CDM walipoungana na wabunge wa cuf kususia kikao cha bunge baada ya spika kukataa hoja ya mbunge wa cuf mh hamad rashid ya kuahirisha bunge,ndipo wabunge wote bila kujali itikadi zao CDM,CUF wote wakatoka nje huo ndo ushirikiano tunaoutaka!!
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,308
  Likes Received: 13,017
  Trophy Points: 280
  walifanya kitu cha maana sana hata wananchi watawapa credit kwani ile ilikuwa ni kwa masrahi ya watz wote
  kama jambo limetokea bora shuguli fulani kuahirishwa
   
Loading...